Nimechanganyikiwa msaada wa haraka

Fanya maamuzi kiume, acha kutanga tanga!

Sioni sababu ya mtoto wako akalelewe na watu baki wakati chance ya kuwa naye na mama yake unayo.

Cha kufanya, jibu lipo kwenye maneno yako mwenyewe hapa

"Kinachofanya nichanganyikiwe ni kwamba, nikimuoa huyu mwenye mtoto wangu ndio sina hisia nae ila hana tatizo, nikimuoa huyu single mother ambae nnampenda, siwezi kua na Amani sababu mtoto angu ataenda kuishi na baba wa kambo huku mimi nnalea mtoto wa mwingine."

Kaa chini waza vizuri.👆👆👆 Maamuzi yapo hapo
 
Peleka posa kwa wife material mchukue muweke ndani.

Hio single mama fanya mchepuko wako safi. Maisha yananenda bila stress.
 
Tuweke sheria wapumbavu wasiruhusiwe kujishughulisha na shughuli yoyoye ya mapenzi, mahusiano na ndoa.
 
Oa huyo mama aliyekuzalia mwana temana na hisia,huyo single Maza jiulize kwanini ni single Maza

Fainali uzeeni jomba miaka 34 umri wa kati huo ukizingua utajipunguzia life span yako kwa ma depression
 
Hisia za nini mkuu?
Chukua mkeo mfanye maisha.
Ndoa ni zaidi ya sex!!!
 


Pumbavu kabisa, hata sisi wake zetu kuna wakati hatuna hisia nao ila tunalazimisha kulea watoto, Pumbavu kabisa, ushaanza u shenzy na ujinga ndo unasema hauna hisia.
 
Mwili ukiwa huru Ila akili imefungwa mnyororo fahamu tu utaishia kujidhuru na kuwadhuru wasio na hatia

Tafuta mentor mzuri akujenge akili ili utoke katika hilo shimo la MAUTI ulilodumkia.
 
Taja njinsia yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…