Nimechanganyikiwa msaada wa haraka

Poleni na majukumu ya Kila siku,nimekuja kuomba ushauri hapa jamii forum sababu naamini humu kuna watu wenye uzoefu au washawahi kutokewa na scenario kama hii.
Nisiwachoshe, mimi ni kijana wa miaka 34, baada ya kuona umri unasogea halafu sipati mtu ambae ninampenda,nilizoeana na binti ambae tulianzisha mahusiano ila lengo langu ilikua ni kupata mtoto, basi yule binti akaja nyumbani, tukaendelea kuishi huku tukilea mtoto, mtoto Ana umri wa mwaka mmoja Sasa.
Tatizo ni kwamba huyu binti ni wife material Lakin Sasa kwa upande wangu sina hisia nae hata kidogo, cha Kushangaza nimempenda binti mwingine ambae pia anamtoto ambae sio wangu.
Na huyu binti ambae nnaishi nae mwenye mtoto wangu karudi kwao anasema mpaka niende kumtolea posa ndo atarudi, la sivyo atabadilisha Namba za cm, na sitampata tena, na mtoto akikua atamwonesha kaburi na kumwambia baba ake alikufa.
Kinachofanya nichanganyikiwe ni kwamba, nikimuoa huyu mwenye mtoto wangu ndo sina hisia nae ila hana tatizo, nikimuoa huyu single mother ambae nnampenda, siwezi kua na Amani sababu mtoto angu ataenda kuishi na baba wa kambo huku mimi nnalea mtoto wa mwingine,
N.B Mimi ni mwanaume nnaependa sana watoto,nnampenda sana mtoto wangu, mbaya zaidi ni wa kike.naamini Kuna watu humu wanajua kudadavua haya mambo ya mahusiano na pia wanaupeo mkubwa kuliko mimi,
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.

Ushauri: Wahi duka lolote la dawa ya Mifugo, nunua Rat Killer, changanya na maji kikombe kimoja kidogo, unywe, alafu urudi JF
 
Kinachofanya nichanganyikiwe ni kwamba, nikimuoa huyu mwenye mtoto wangu ndo sina hisia nae ila hana tatizo, nikimuoa huyu single mother ambae nnampenda,
We mbwa huyo unaemuona huna hisia nae mpaka umefika hatua umezaa nae mtoto ndio unaefanana nae kenge we oa huyo sio hilo gumegume lililowashinda mitume, sorry kwa kutumia lugha mauzi Ila unakera pimbiwe sababu unapomuacha kuna mwenzio atamuona mzuri km wewe unavyomuona huyo single Mama alafu atajiuliza kwanini umemuacha km wewe unavyojiuliza kwa jamaa aliemuacha huyo single Mama kengewe kengele kabisa
 
Mkuu nimekuelewa japokuwa Una lugha kali sana
 
naamini Kuna watu humu wanajua kudadavua haya mambo ya mahusiano na pia wanaupeo mkubwa kuliko mimi,
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
We mbwa tushakwambia oa uliezaa nae sio kila nyumba unataka utie mimba ukimchoka single Mama utaona mwingine nae utataka umkojolee pumbavu kabisa, hujampenda huyo single Mama umemtamani unaempenda ni huyo ambae huna hisia nae ndio maana ukazaa nae
 
Hii hali ni ya kweli kabisa. Mimi kuna vijana waniuliza maswali ya aina hii. Na wengine wako katika hali zaidi ya hii nawashauri.
Vijana wa siku hizi wanachukulia mambo poa na simple sana.
Nashukuru mkuu kwa kunisaidia,ni kweli kabisa
 
Hii hali ni ya kweli kabisa. Mimi kuna vijana waniuliza maswali ya aina hii. Na wengine wako katika hali zaidi ya hii nawashauri.
Vijana wa siku hizi wanachukulia mambo poa na simple sana.
Penda penda tu kila shimo wanataka waongie wewe umeshazalisha tuliza ball bro lea mtoto wako na huyo Mwanamke unaemuona huna hisia nae ukiishi nae hisia zitakuja tu huko mbele asipokufaa leo kesho pia ni siku, chumvi haina thamani kwenye Meza ya chai Ila unapofika mda wa chakula na mboga ndipo chumvi inapokuja kua na umuhimu
 
Sory nje ya mada,kwanini umetumia kauli" napenda sana watoto,mbaya zaidi wa kike" mtoto wa kike ana shida?
 
We mbwa tushakwambia oa uliezaa nae sio kila nyumba unataka utie mimba ukimchoka single Mama utaona mwingine nae utataka umkojolee pumbavu kabisa, hujampenda huyo single Mama umemtamani unaempenda ni huyo ambae huna hisia nae ndio maana ukazaa nae
Ilikua Bahati mbaya Kuzaa nae mkuu, japokua nimekuelewa
 
We si una katoto kakike hako na unasema unakapenda sana? Kaangalie usoni alafu kaambie 'mwanangu karma ni ujinga tu usiwe na wasiwasi'......
 
Sory nje ya mada,kwanini umetumia kauli" napenda sana watoto,mbaya zaidi wa kike" mtoto wa kike ana shida?
Nilikua namaanisha sina ujasili wa kukaa mbali na mtoto wangu,kuna wanaume wanahuo ujasili na wakaishi kwa raha tu, nimesema wa kike sababu Najua ataenda kuishi na baba wa kambo,kama unavojua Dunia imeharibika
 
Back
Top Bottom