Nimechaguliwa SUA kusoma Bsc. ya Environmental Science ila nataka kubadilisha kusoma Biotechnology and Laboratory Science

pmike

Member
May 16, 2016
64
111
Ndugu wana JamiiForums naomba msaada kipi ni kozi marketable kati ya Environmental Science vs Biotechnology and Laboratory Science. Niko dilema nisaidieni idea.
 
Nenda chuo watakuoa maelezo zaidi ila hakikisha kwanza cut point zako zinakuruhusu kusoma iyo kozi na pia lazima kuwa na nafasi kama hamna ndo basi tena.
 
Ndugu wana JamiiForum naomba msaada kipi ni kozi marketable kati ya environmental science vs biotechnology and laboratory science , Niko dilema nisaidieni idea
 
Achana na bls ndugu soma hiyo hiyoo bls haina wizara, labda soma BVM, you will thank me later.
 
Soma environmental science usihofu ajira zipo. Ukipasi vizuri unaweza kuwa hata lecturer vyuo vya Agriculture
 
Ndugu wanajamii forum naomba msaada kipi ni kozi marketable kati ya environmental science vs biotechnology and laboratory science , Niko dilema nisaidieni idea
Yaan Dogo mpaka sasa hujui nn malengo yako ktk Elimu dah
 
Biotechnology & laboratory science ina uwanja mpana zaidi. Unaweza fanya kazi sehemu nyingi na pia hata kujiajiri.
 
Hiyo Environmental Science hapo SUA imeshakula vichwa vya Watu wawili ninaowafahamu na wako smart kichwani sijui shida nini.
Ukiamua Kusoma hiyo usifanye mchezo soma haswa
 
Zote kozi za kawaida pale sua ila nenda kasome BLS itakupa hata channel hasa kwenye mashirika ya nje. Kila la kheri wasalimiewakina Prof. Misinzo et al..
 
Ndugu wana JamiiForums naomba msaada kipi ni kozi marketable kati ya Environmental Science vs Biotechnology and Laboratory Science. Niko dilema nisaidieni idea.
Biotechnology ni nzuri kwa nchi za wenzetu kwenye Field za medical unaingia sana.
 
Back
Top Bottom