Saitori sio mtu mzur Yule.Ni kozi ngumu haswaa, ikichangizwa ugumu na Saitoli
Sanste sana kaka.Jiandae kifikra, kifedha na kimwili; na uwe na utayari wa kujifunza na kuelewa yale yote yanayofundishwa darasani na wakufunzi wako.
Amani ya moyo uwe nayo ya kutosha wakati wote na mambo yataenda sawa na miaka mitatu au semester 6 kwako itakuwa kama wiki 4 unaukwaa u-clinical officer ambapo kujiajiri/kuajiriwa kuko nje nje
Nilikopata pesa ya kulipia ada basi ndo nitaendelea kupata huko huko hata baada ya kusoma au wakati nasoma.Achana na shule fanya mambo mengine kwa Hiyo pesa usije kujutia
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nani anakutisha?Mkuu hakuna kisichowezekana katika maisha.Wewe Tayari ni MD unachohitaji ni kukamilisha utaratibu.SOMA kwa BidiiWakuu habari za muda,mm ni kijana ambae nilikuwa na ndoto za kuwa daktari tokea muda,maisha nikayaharakia baada ya kumaliza shule nikaoa ndoto zikapotea.
Nikajicjanganya na kazi za ufundi katika sehemu mbalimbali hasa mahotelini kwa muda usiopungua mwaka.
Mwanaka jana nikasema naenda kutimiza ndoto yangu nikahonga honga nikapata chuo private,nimecjaguliwa kusoma clinical medicine ambayo nimefuatilia nimeambiwa nikikomaa na GPA ya 3.5 naweza kusoma MD moja kwa moja.
Sasa je wakuu nijiandae vipi ili nifaulu ?
Maana natishwa naambiwa ni kozi nguvu hasa kwa mm niloishia form four bora ingekuwa japo form six,ikoje hii wakubwa ?
Nijiandae vipi ili kozi isiwe mogumu kwangu mwadau wangu ?