Nimechafukwa na mapenzi

Meshacky Allyson

Senior Member
Joined
Oct 29, 2020
Posts
130
Reaction score
252
Wana JF, kama title hapo juu inavyosema

Yaani kiukweli, sijui tatizo hili ni kwa sababu ya ugumu wa maisha au ni aina ya mapenzi ya sasa, yaani sielewi nimekuwa nipo single kwa muda sasa, kiukweli mzuka wa kudate na mtoto wa mtu sina, hasa nikiangalia date za sasa zilivyo mbovuu, zipo kimaslahi zaidi, nimechafukwaa kabisa sina hamu nayo na hadi girlfriend wangu nimemshit yaan sina time kabisaa...busy busy with life... focus on my life ...

Najua siko peke yangu ,
Uzi huoooooooooo
 

Inabidi ufanye upesi ukafanya vipimo wenda homoni za kike zimeanza kuzidi zile za kiume ukifanya mchezo tutakupoteza na jamuhuri walivyokuwa makini faini ya milioni tano hatutakuchangia hata mia
 
Kila jambo na wakati wake![emoji6][emoji6][emoji854][emoji854]
 
HUNA HELA hebu jikite kupata hela kwanza
 
Haupo mwenyewe boss mwenyewe mwenyewe nilijaribu baadhi ya njia ila hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…