Kitu ni kile kile kilishaletwa mara nyingi tu humu wadau...!
iko hivi..
Siku moja ukiwa unatembea ghafla unashituliwa na kofi la nguvu linalokupelekea kufumba macho, ngumi kama kumi mfululizo usoni,kufumbua macho unakutana na sura usiyoifahamu, na yeye anashituka na kukuambia samahani sana nimekufananisha.