Nimeblock Samsung S3 naombeni msaada

Nimeblock Samsung S3 naombeni msaada

whizzkid

Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
58
Reaction score
5
Simu yangu imeblock kwasababu ya kuweka wrong pattern inaniambia nweke backup pin na mimi siijui. Nisaidieni nfanyaje?
 
Asante mwaya. Nmefanya hvo ikanpa warning ya custom os, nkacontinue option ya download custom os but ni zaid ya saa inadownload tu na no progress shown. Sasa cjui imestack au ndo inawork slowly?
 
Kama data ilikuwa enabled kwa simu yako basi hamisha line alafu activate Internet na uirudishe tena itakupa option ya kuweka mail na password ili kufungua
 
Asante mwaya. Nmefanya hvo ikanpa warning ya custom os, nkacontinue option ya download custom os but ni zaid ya saa inadownload tu na no progress shown. Sasa cjui imestack au ndo inawork slowly?
Ulitakiwa kuchagua factory reset badala ya custom OS.
 
Kitufe cha kati na volume down + power

Asante mwaya. Nmefanya hvo ikanpa warning ya custom os, nkacontinue option ya download custom os but ni zaid ya saa inadownload tu na no progress shown. Sasa cjui imestack au ndo inawork slowly?

hapana si volume down na power inatakiwa iwe volume up ndio unaingia recovery. volume down huwa unaingia download mode.

jaribu kufuata ushauri wa Never give up kwanza kwa kujaribu kusolve bila kufuta kitu. wanakuomba backup key sababu mwanzo wakati unaseti hizo pattern walikwambia uweke key kama umesahau step ya pili watakwambia uweke email kama utakua na network utaeka acount yako ya google. ikishindikana kabisa itabidi uje step ya mwisho sasa ya kufuta kila kitu.

bonyeza volume up + home button + power ikitoke logo ya samsung imendika gt i9300 achia power huku unaendelea kubonyeza volume up na home button utaona simu ipo recovery. chagua wipe data halafu reboot simu yako itapona
 
Last edited by a moderator:
Hyo option ya kuweka email na pasword ipo lakin nkiweka pasword hairespond kitu
Data was on,sasa ntaactivate vp internet wkt cm haifunguki?
 
Hyo option ya kuweka email na pasword ipo lakin nkiweka pasword hairespond kitu
Data was on,sasa ntaactivate vp internet wkt cm haifunguki?

Kama data ilikuwa on basi lengo langu ndilo hilo hapo juu kuwa tafuta line inayopiga mzigo vizuri kwenye 3G siyo edge alafu nunulia kifurushi na uiweke ktk hiyo simu itakubali kufunguka kwa njia hiyo mimi nishafanikiwa namna hiyo hiyo hofu yangu ilikuwa labda data service ipo off..
 
Ikiwa umeamua kuformat basi weka model yake tuangalie jinsi ya kuformat mara nyingi zinapishana pishana lkn ni combination ya keys kama mdau alivyo jaribu kushauri hapo juu lkn haitakiwi kuingia ktk download mode
 
kumbe data was off, but niliweza kuifungua: nlitumia backup pin.
Asanteni nyooote
 
naombeni msaada simu yangu nili iformat sema saivi haiwaki kawaida haiandiki sumsung ina andika color my world naomba nisaidie irudi kama ya kawaida
 
mbona ni original njia gani unatumia kuangalia kama ni original

boot animation unaweza kuichange ila ukireset simu bas inarud kama ilivyo. hio simu inaitwa my color watu wakaichakachua ikawa samsung sasa hv umereset imerud kama ilivyikuwa.

irudishe ulipoinunua dada
 
Back
Top Bottom