Nimebanwa na mafua mkali mno!

Chai ya moto ikiwa ya mooto..weka tone sita kwenye matundu ya pua
 
Pole nunua Vicks chemsha Maji Kisha weka Vicks kiasi kwenye maji jifukize Mara 3 kwa siku
 
jamani wengne wataua wagonjwa eti weka tone 6 kwenye tundu za pua tena maji moto kweli ?
 
chukua kitunguu sawumu kiponde mpaka kisagike kabisa kisha paka kwenye nyayo na viganja wakat wa kulala...asubuh utaamka mafua yamekata kwa asilimia kubwa sana....hii dawa niliwah kuambiwa na watu wawili tofauti wenye ujuzi wa home made medicine j
 
Aisee asanteni mimetumia Jana chai ya ndimu, mvuke wa viksi na hiyo swaumu Leo niko mzima asanteni sana.
 
Back
Top Bottom