Nimebakwa na wanawake watatu

Wewe lijinga..usifikiri kila unachokiandika wanasoma watoto wenzio
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu ndan ya moyo wako ni kwel una hzo chuki au kwa sababu wamefanya bila kuona mchezo unavyokwenda
 
We sema umewagonga mmoja baada ya mwingine na yamkini baada ya dhambi hiyo umekuwa na wasiwasi na afya yako na isitoshe hata kwa mke wako ishu kubumburuka haiwezekani cm imepoteza network harafu muda huo upigie wateja tena wa 3 hiyo cm ilitumia network gani?
 
Mkuu jogoo wako ndo mwenye kiherehere.
Kama ulizimia why akusaliti yeye aamke atumike wakati wewe hujui?
Huyo ndo wakudeal naye mana mimi najua uzimia kila kiungo nacho kinastop.
Jongoo wako mlafi sana
Jogoo wake anakiherehere[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlakuuu huyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poyeee mkuu
 
Ukapime baada ya miezi mitatu na uwachulie hatua Kali
 
Mtoa mada nadhani hiyo ni story ya tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA ambapo katika onyesho la leo Ethan aliwekewa madawa na Brenda wakaishia kulala wote [emoji109][emoji109][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtumbuee jogoo wako ni Jipu iweje awikee bila ruksa kutoka ofisi kuu
 
Umeonaa jamaa muongo ww umepoteza nguvu inakuwajee network iwe richaboo
Waqt unaweza kuwa na mfadhaiko tu mpini haukongoki sasa huyu amedoromee kabisa kisha kaweza kupiga mathalani bao tatu za nguvu huyu jamaa atakuwa genius wa mtungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…