nimebakwa juzi

Nilidhani umebakwa na kidume kwenye masaburi kumbe umeombwa penzi na kigagula!
 
hadi anavalisha ilikuwa imelala na je ilifiti vipi vazi ikiwa imelala wewe sema ulikuwa unategemea kupata nafasi ya ubwete na inaonyesha ulipata mterenko
 
KWANI WE ULIYEBAKWA NI MWANAUME AU MWANAMKE.
Msaada jameni!
 
MMH1 hii kali. yaani ulinogewa na kamchezo, ukajirahisisha. hukupiga mayowe. tena inaonekana na wewe ukawa dereva wa shughuli hiyo. halafu eti 'naomba ushauri wa kisheria'! acha kutuzuga wana JF. you beta go and repent for the evils, not only that bt also the rest so that you maintain ua re'shp wth God. usirudie kupenda vya bure. huwa tunawasema wanawake tu, kumbe hata men wapo?
 
wakati unazungusha kiuno kama feni mbovu au madansa wa akudo ulifikiria kushtaki?
 
Hujabakwa! Umejirusha mwenyewe ukala uroda! Alamba alamba alamba haam!
 
hata hiyo dawa ya pendhii anajikosha tuu. hakuvaliwa wala nini,.,. mbwembwe tu!
 

Hivi unaalikwa na mwanamke ambae hana mume nyumbani kwake, mnakaa mnalewa pamoja, ulitegemea nini? Unanshangaza.

Uzinzi ulikupeleka, na nenda kapime haraka sana.
 

Tuambie kwanza ulipiga vingapi? ili ushauri uanzie hapo
 
Ningependa niwe karibu ukiripoti hili kosa kwa maafande;

AFANDE: eeeehhh Hebu rudia.....eti unasema ulibakwa??, hilo lijamaa unalifahamuu???

MKONOWA....: eeeehhe afande, haikua jamaa, ni ishangingi mmoja tuna fanya nae kazi!!!!!

AFANDE: HHhaaaaa..haaaa...aaahh.. Naniii,i hebu kuja rekodi hii maneno...ahhh ahhha ahha..leo nitakufa na kuchekaaaa!!!!!
 

Kabla sijakushauri, naomba kwanza unieleze wewe uko kundi gani kati ya haya yafuatayo.
1. Binadamu.
2. Mnyama wa porini.
3. Mnyama wa kufugwa.
Kama ungekuwa binadamu usingeleta upupu wako hapa jukwaani. Yaani unafurahia mazoezi ya kitandani mwenyewe, then unakuja kuomba ushauri?.
Anyway ushauri wangu kwako ni huu"ACHA UZINZI".
 
Ushahidi hamna na yeye alilifahamu hilo ndio maana akakuvisha dawa ya penzi kumaliza kabisa ushahidi wowote.

Wabakaji wote wangekuwa wanavaa hiyo kitu kesi zote wangeshinda
 
Hebu nipe majibu ya hizi hoja:
..ulikula "tunda" kwa style gani?
...ulipiga round ngapi?
...baada ya huo uchafu nini kiliendelea?
....alikumbuka kukushukuru?
....mlipokutana ofisini nini kiliendelea?
 
Inachekesha, mtu anapiga goli tatu, kila baada ya goli anapumzika huku kafurahi, halafu anakuja kwa wenye akili eti kabakawa. dunia msongamano
 

hapo kwenye nyekundu ndo nilikuwa napatafuta! rudi tena
 
amen'zidi sana moa than 10 nahisi..........afu naskia ofisini hajakanyaga tangu jana!!...na mi pia sikanyagi hadi aanze yeye...wanasheria plz mniPM

Kweli mkuu aanze yeye. ladies first. Kma vipi nenda kamcheki inawezekana ulimuumiza, inavyo onekana hajazoea. Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…