nimebakwa juzi


umepiga kavu usitudanganye hapa..ivi wewe unadhani si watoto eeeh
 
mimi nilijua utauliza nini maana ya mtu kubakwa, labda wana JF tungekusaidia lakini hiyo yakuvishwa dawa ya penzi umetulia utazani unanyolewa eti unaiita kubakwa!!!!!!!!!
 
Umekula ya mbuzi subili kuota mapembe.
 
mbona kipindi unachomolewa nanii ulikuwa umetulia tuli vipi leo mwende kuvua nguo kwenye vyombo vya sheria.
 
Tumejua bana kwamba hukua peke yako"
 
Aahaaaa!yani wewe mwenyewe ulikuwa umechuchumaa ukaguswa kidogo na wewe ukajiangusha then unasingizia umesukumwa!!unalolote!
 
umepiga kavu usitudanganye hapa..ivi wewe unadhani si watoto eeeh

Umeona ehee katembelea limu huyo inamaana demu anastock ya ndomu??unatuzuga mabingwa kwa mazingira hayo lazima utembelee limu nikama upate pancha bonde la magomeni usiku saa 8 unadhani unafanyeje unasaga limu!!
 


hakukubaka, kwanza
- upo nyumbani kwake
- umefurahia mpaka ukapagawa
- hadi anakuvalisha dawa ya penzi uliruhusu kwa raha zako

acha hizo ulifurahia utamu wewe...............
 
Ungepiga kelele au alikuwekea matambara mdomoni,teh teh ulibakwa ukakumbuka kuvaa dawa ya pen'dhi na mtarimbo ukapata hisia zote we ukalala kama gogo !
 
kwanza ulienda eneo la tukio kwake, alikuwa na uwezo hata wa kukusingizia mwizi, mazingira yanaonyesha ilijiandaa litegemea inaweza kutokea
 
Kwa sheria za Tanzania (SOSPA 1998, iliyoangamiza familia ya babu Seya), anayebakwa ni mwanamke na si mwanaume, ila sheria sio msahafu yaweza badilisha kama jamii itataka wanawake nao washitakiwe kwa ubakaji.
 
Najiribu kufikiria dawa ilipitaje kwenye koo(.......) wakati anayepatiwa dawa hataki..kama vipi ulikuwa na uwezo wa kuikataa dawa. na kama ulikuwa hujajiandaa na purukushani yote hata dawa isingeingia..Ninavyoona yaelekea ulikuwa umetulia kama maji ya kwenye mtungi huku mdada wa watu akiendelea na zoazi zima la mchezo. siku nyingine usirudie tena..!!
 
Ungepiga kelele au alikuwekea matambara mdomoni,teh teh ulibakwa ukakumbuka kuvaa dawa ya pen'dhi na mtarimbo ukapata hisia zote we ukalala kama gogo !

Tena inavyoonekana jamaa alienda zaidi ya round moja...ubakaji gani huo..aache kujustify vitu ambavyo havina mashiko. Tena dada akiamua kumshitaki alimbaka anaweza kujenga mazingira yote ya kumshitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…