technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Mamelod kajaza uwanja lini kwa kiingilio?Simba ilikuwa na sold out siku 3 kabla ya mechi ya ufunguzi ya AFL.
Benjamin Mkapa Stadium ina capacity ya watu 60K.
Simba ilijaza watu hao na kiingilio cha chini kilikuwa ni 7,000.
Wydad kuoitia Mohamed V ya kule Morroco huwa anajaza full house uwanja wenye capacity ya 67,000.
Mamelody naye huwa anajaza mashabiki zaidi ya 50,000 full house kwenye mechi zake.
Pamoja na hayo yote ufunguzi ukifanyika Tanzania.
Lakini pamoja na hayo yote tuzo ya mashabiki bora ilienda kwa Simba.
Unajua kwanini?
Kwasababu hao wote wanajaza full house kwakua mechi wanaweka bure.
Mechi ikiwa bure unapoteza tafsiri halisi ya kwamba mpira ni hisia.
Kwenye mpira zipo dhana zinazotumika kupima mapenzi halisi ya shabiki wa mpira.
Na moja ni pamoja na shabiki huyo kuisapoti timu yake kupitia gate collection.
Sasa inapotokea mechi kubwa halafu ukaifanya bure maana yake unajenga picha kuwa timu yako haina mashabiki wenye mapenzi ya kweli kuweza kuisapoti timu yao
Au ni mashabiki ambao hawana uwezo wa ku attend hiyo mechi kwa wingi kutosheleza kujaza uwanja pasipo kuifanya bure.
Au kwa maneno mengine ni kwamba idara ya habari haina convincing power ya kuhamasisha mashabiki wawe na muamko wa kuona wajibu wao kwenye kuisapoti timu.
We jamaa ni muongo duh!!!