Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
Msaaada wenu wadau.
Niliapply chuo cha University of Dar Es Salaam Computing Centre kule Posta Mpya huku kaztika fomu ya maombi ya chuo nikijaza kwamba nitaingia asubuhi saa 2 hadi saa 6 mchana.
Sasa utokana na mambo kuingiliana,uhaba wa usafiri ukijumlisha na foleni uwa nachelewa kufika chuoni.
Baada ya kuongea na uongozi wa chuo wakasema kwamba utaratibu wa kuingia mchana pale UC Posta Mpya kwa sasa haupo hivyo basi kama nataka kuingia mchana muda wa masomo unaoanza saa 6 hadi saa 11 natakiwa nihamishiwe makaa makuu ya Mlimani.
Imekaaje hii wadau.
Asanteni