Nimeanza kuwachukia ndugu zangu wakike ( ndugu wanawake)

Umenena vyema Mkuu, rizki ya Mtu hupitia kwa mtu
Huu ni ujinga, kwanini wasitafute zao na wao?
Mtu ameolewa, si amuombe mume wake? Hana ndugu kwao alikotoka?
Na kama hajaolewa si akaolewe ili wasumbuane na mume wake?
Hii tabia mimi pia inanikera sana kwa ndugu zangu.
Mbona mimi nikiwa na tatizo nakomaa nalo a-z peke yangu?
 
Unatuabisha mabaharia unaachaje kuwapenda
69385807_417340475566390_6000192646792871936_n.jpeg
 
Ukiangalia Mali kwa jicho la tatu huwezi kumnyima Mtu. Labda Kama uwezo hauruhusu. Kutoa ni Bora kuliko kupokea

Back
Top Bottom