mzee baba_tz
New Member
- Mar 27, 2024
- 1
- 35
Wakuu samahani,
Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao.
Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu ananiambia ukinipa 10k kama kahela kakunitoa machozi itakuwa powa.
Nikasema sawa nikipata ntakupa, nakaa dakika tano naona message tuma kwa namba hii.
Kesho ahsubui call zaidi ya 6 mixer message huku kuna mvua ooh nini ila target hela.
Mimi naona kumpa sio sahihi, kwasababu hakuna uhusiano wowote kati ya 10k na taratibu za mazishini.
Alafu huyu faza ana nyumba tatu hapa Dar na mikoani alafu mimi ndo nimpe hela kweli hata kiwanja sina?
Daaah nimempotezea bhana kama ipo ipo tu connection ntapata sio lazima yeye.
Enhee wajuba nimezingua au ndo matolokololelo.