Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Naona hupendi ujingaujinga
😀😀Kwani ya jero ndogo? Unapata mb 70 za kuingia jf
Uwahi aseeNaja aseee mi nlikuaga mpiga dili, sahivi account ina vumbi tu
Ha ha ha ha
siku hizi nina pesa mingi sana aseee.
Ntafute ufurahie pasaka, mtoto mzuri kama wewe kula sikukuu kinyonge kinyonge sio jambo jema kabisa.
Hapo utakuta vocha yenyewe ilioanzishiwa thread ni ya jero.....