Nimeanza kupimiwa utamu

Hivi hili ni jukwaa la wakubwa au nimepotea njia?
 
Inaonekana umeshapimwa katika mizani na imeonekana umepungua. Jitafakari !!!
 
Ingekuwa mke wako ningekupa solution lakini sito solution kwa wazinzi na wahasherati kwa sababu hata mimi mwenyewe nimeshaacha uzinzi mwaka wa 2 sasa na nimepanga kuiona tena papuchi ni hadi nitakapooa!!
Uamuzi wa kishujaa sanaa!.. wewe na wale majihadist hamna tofauti!..
 
Umemuoa?? Unataka upewe kila ukitaka wakat hayuko chini yako halaf usiseme msichana wako bado huna hati miliki
 
Ulimchafua labda hiyo siku umepewa game
 
Ni kiposeo au ni mtu una malengo nae?
 
Ukimcharaza kisawasawa ujue hutahangaika kuita Chausiku uko wapi yy ndo atakutafuta.Ukuni haunaga shida ukitumika vizur.Mnawatesa watoto wa watu kwa kuwapapasa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umevurugwa
Mwanamke ukimpasua vizuri mwenyewe atakutafuta tena utasikia anakwambia yeye katangulia ile sehem mliyopigania miti utamkuta chumbani.

Siku ya kwanza inabidi umpasue mtu vzr sio unafanya kwa uoga uoga inabidi ufanye tendo la historia unamkaza kama kesho yake unakufa vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…