Lets rely on facts but not opinions be they yours or other's opinions.
We have facts that our country is poor,instead of depending on opinions that we can not eradicate poverty in our country
Kazi na biashara zimekua synonym na rushwa na ni narda sana kuona mtanzania anaye-embrace rationality na morality!!!
Imekua NCHI YA KITU KIDOGO
No tupo wengi na mfano wa karibuulionao ni sie hapa wana JF ; vuguvugu letu si haba na nakuhakikishia mwangwi wake umefika mbali sana! Sikate tamaa!
De Novo mie ni kama vile naelekea kuungana na wewe ...
🙁
Ndugu MTM,
Naikumbuka sana ile thread!! Mie nipo kwenye mazoezi ya kuwa na roho ya kifisadi (umimi kwa wingi), in 24 -36 months nampango wa kulipindua......na kama anavyosema Mama Joe, Bongo opportunities kibao hasa biashara, lakini ndio lazima unapelekana nao hivyo hivyo kibongo bongo!! Kama trafiki inakuboa, basi unakuwa unaingia mjini na chopper...kama ulinzi unaona hautoshi basi una hire blackwater! Maji ya kunywa toka Sauzi, mayai China, sementi Pakistani, maziwa Kenya e.t.c!! Bongo tambarare!
Ni kweli rafiki.De Novo USITENDE HIYO DHAMBI YA KUKATA TAMAA!!!! mUNGU AKUPISHIE MBALI...
KWa miaka kama nane sasa napambana na kujifariji kwamba bongo inaaza kusimama, nikajipa moyo kwamba tutasonga mbele hasa baada ya slogan ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya
vilevile wamarekani na other first world wamejaribu sana kututengenezea mazingira ya ajira humuhumu nchini tena kwa kutushawishi kutokea makwao tulipokua "tunatafuta"
Nilipambana sana kwenye ile thread ya educated immigrants, bongo tambarare, etc. lakini naona kama gesi yangu inaisha
sioni dalili za nguvu za kusema kwamba tunasimika taratibu mpya za maisha na levels of efforts za watendaji wa serikali zinanivunja moyo!!!
Tuliahidiwa na "mtaalam JK tujiunge kwenye professional groups tupate platform --- trust me, hali ni ileile!!! even the groups zilizopo zinaenda ki-Freemasons
Naanza kutamani tena kupiga maboksi, kuangalia elevators, kupita kwenye barabara safe na kuepuka hasira za daraja la kigamboni, nililoona mchoro kwaka 2007,
I AM LOSING HOPES DESPITE ALL MY INDIVIDUAL EFFORTS NA KUKESHA KUJIPENDEKEZA KUFANYA KAZI.... TENA HILO NDIO LIMENIMALIZA KABISA KWANI NDIO NAONEKANA MBAYA
Mie nilishajikatia tamaa na nji hii LONG TIME AGO.....but still naipenda nchi yangu ingawa leo hii sio nchi ile iliokuwa na Mwatex,kiltex,mutex na viwanda kibao,sasa hivi ni kila kitu ni made in China et al.....inauma sana.De Novo mie ni kama vile naelekea kuungana na wewe ...
🙁
Endelea kustahamili kidogo Mkuu kabla ya kuamua kurudi kubeba box...LOL! (I am joking)...lakini hiyo awamu ya pili inayokuja ndiyo itakuwa na madudu ya kutisha maana jamaa atakuwa mguu na njia ili kujiingizia per diem allowance nyingi kadri atakavyoweza ili kujiweka tayari na mwisho wa awamu yake hapo 2015. Wewe si wa kwanza kukata tamaa, wengine pia walijaribu sana na wakaishia kunyoosha mikono juu na kuangalia usawa mwingine.
huko ndio usiseme... kuna bora, ufi, urafiki, sukita, stamico, tafico, nasaco, rtc, yaani ngoja tuchape last shot!!!Mie nilishajikatia tamaa na nji hii LONG TIME AGO.....but still naipenda nchi yangu ingawa leo hii sio nchi ile iliokuwa na Mwatex,kiltex,mutex na viwanda kibao,sasa hivi ni kila kitu ni made in China et al.....inauma sana.
huko ndio usiseme... kuna bora, ufi, urafiki, sukita, stamico, tafico, nasaco, rtc, yaani ngoja tuchape last shot!!!
lets take the biggest breath tujaribu mara ya mwisho
Yaani nimerudi leo kutoka kwenye ujenzi wa taifa letu changa, kila nikiangalia pembeni najisikia kuchoka, napoteza hamu ya kazi, napoteza utamu wa maisha, nimeishia kuongeza volume ya alcohol na hata kale ka-sukari kameanza kujaa tena
Namuomba mungu nipate nguvu za pigo la mwisho niweze kumchomoa huyu shetani anayenishinda nguvu siku hadi siku
tatizo advocates wa shetani huyu ni wanasiasa, wengi wao ni dnugu zetu!!!
lord have mercy