💯💯sjajua unaendeshwa na 'passion' au 'pesa' ( kupiga pesa uku ukihemka )
kama ni 'passion' then vyema, kama ni pesa utaishia ku code kutumia templates
Habari zenu humu mm nimehitimu diploma ya Computer science kwa mwaka sasa nilikuwa najiuliza kila kitu ni kipi nakipenda na nikawa navutiwa sana na maandishi yanayo husu code kudesign website na app developer.
Nimekuwa napenda kufatilia tutorials mbali mbali you tube kujifunza kwa wiki mbili sasa najua itanichukua muda hata miaka mwili.
Naomba ushauri kama kuna lolote la kupitia katika taaluma hii ni kipi uzuri na idea kidogo na kutokana na nilichosomea.
Ushauri wenu wajuzi zipi changamoto zilizopo katika fani hii.
Kwa nini, hailipi,ngumu, ina bore, inamadhara?Hii dunia hii, wengine tunatoka tunaachana na computer wengine ndo wanaanza
Kwahiyo kama wewe unaachana na computer unataka wote tuache sio?Hii dunia hii, wengine tunatoka tunaachana na computer wengine ndo wanaanza
Kwa nini, hailipi,ngumu, ina bore, inamadhara?
Tueleze kwa nini umeachana na computer wakati ndio kifaa kilicho karibu na binadamu zaidi na kinamsaidia kila mda hata elimu haiendi bila kompyuta.
Je umramua kuwa mkuloma au nani?
Dhu yani watanzania ni changamoto, hadi mtu ukistaafu wanataka maelezoKwahiyo kama wewe unaachana na computer unataka wote tuache sio?
Mleta mada kula kitabu jifunze sana utatoboa tu usikatishwe tamaa na maneno ya mtandaoni. Sio vibaya ulivyoleta mada hii lakini jua tu kuwa kuna watakao kukatisha tamaa na watakao ku support.
Do not feed on the negative energy.
Umesema unastaafu? Mkuu kwa jinsi ulivyoandika comment yako inaleta picha kuwa labda kufanya coding hailipi ndio maana unaacha na ndio maana unamshangaa mleta mada kuingia sehemu ambayo wewe ndio unaondoka.Dhu yani watanzania ni changamoto, hadi mtu ukistaafu wanataka maelezo
ShukuranUmesema unastaafu? Mkuu kwa jinsi ulivyoandika comment yako inaleta picha kuwa labda kufanya coding hailipi ndio maana unaacha na ndio maana unamshangaa mleta mada kuingia sehemu ambayo wewe ndio unaondoka.
So next time angalia namna ya uwasilishaji wako. Otherwise kila la heri babu yangu, enjoy pension yako.
Umesema umeacha huja staafu. Kumbuka kuna mtu anataja kujifunza.Vinginevyo hutakuwa mkweli, unafurahisha uzi.Dhu yani watanzania ni changamoto, hadi mtu ukistaafu wanataka maelezo
Vyuo vikuu dunia nzima vinadahili wanafunzi fresh student yeye analeta porojo tu bila sababu za msingi.Kwahiyo kama wewe unaachana na computer unataka wote tuache sio?
Mleta mada kula kitabu jifunze sana utatoboa tu usikatishwe tamaa na maneno ya mtandaoni. Sio vibaya ulivyoleta mada hii lakini jua tu kuwa kuna watakao kukatisha tamaa na watakao ku support.
Do not feed on the negative energy.