D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,704 Jan 29, 2018 #1 Wadau habari zenu, leo asubuhi nimeangusha earphones nyeupe zinatumia bluetooth kwenye gari ya kwenda tegeta kutokea kivukoni, aliyeziona jamani anisaidie kwani nazihitaji sana.
Wadau habari zenu, leo asubuhi nimeangusha earphones nyeupe zinatumia bluetooth kwenye gari ya kwenda tegeta kutokea kivukoni, aliyeziona jamani anisaidie kwani nazihitaji sana.
PrincessAnne JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 1,874 Reaction score 2,228 Jan 29, 2018 #2 Mmmh mimi nimeziona.... si zina vimasikio viwili eeh halafu nyeupe
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 8,139 Reaction score 17,613 Jan 29, 2018 #3 Mkuu, una imani!
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,704 Jan 29, 2018 Thread starter #4 ISO M.CodD said: Mkuu, una imani! Click to expand... zinaniuma sana, anaweza akatokea mtu mwenye roho nzuri huwezi jua
ISO M.CodD said: Mkuu, una imani! Click to expand... zinaniuma sana, anaweza akatokea mtu mwenye roho nzuri huwezi jua
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 8,139 Reaction score 17,613 Jan 29, 2018 #5 Islam005 said: zinaniuma sana, anaweza akatokea mtu mwenye roho nzuri huwezi jua Click to expand... Bahati zipo duniani. Kila la kheri mkuu.
Islam005 said: zinaniuma sana, anaweza akatokea mtu mwenye roho nzuri huwezi jua Click to expand... Bahati zipo duniani. Kila la kheri mkuu.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,810 Reaction score 61,689 Jan 29, 2018 #6 Islam005 said: zinaniuma sana, anaweza akatokea mtu mwenye roho nzuri huwezi jua Click to expand... mshukuru aliezichukua , kakuepusha kuwa 'kiziwa' mtarajiwa
Islam005 said: zinaniuma sana, anaweza akatokea mtu mwenye roho nzuri huwezi jua Click to expand... mshukuru aliezichukua , kakuepusha kuwa 'kiziwa' mtarajiwa
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,570 Reaction score 16,358 Jan 29, 2018 #7 dronedrake said: 'kiziwa Click to expand... bila shaka hili ni term ambalo huwa mnatumia kwenye automation engineering
dronedrake said: 'kiziwa Click to expand... bila shaka hili ni term ambalo huwa mnatumia kwenye automation engineering
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,704 Jan 29, 2018 Thread starter #8 Planett said: bila shaka hili ni term ambalo huwa mnatumia kwenye automation engineering Click to expand... haahaaha
Planett said: bila shaka hili ni term ambalo huwa mnatumia kwenye automation engineering Click to expand... haahaaha
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,810 Reaction score 61,689 Jan 29, 2018 #9 Planett said: bila shaka hili ni term ambalo huwa mnatumia kwenye automation engineering Click to expand... hehehee, ujumbe kaupata!
Planett said: bila shaka hili ni term ambalo huwa mnatumia kwenye automation engineering Click to expand... hehehee, ujumbe kaupata!
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,704 Jan 30, 2018 Thread starter #10 Duh