Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,351
Ndio ujinga wa maisha, Ukiwa Chuo watoto wanakua wakali balaa halafu unakua na "appetite" sana sema unakua huna "cash"!Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Chuo kikuu chuo kikuu ajira hakuna wewe unawaza ujinga badala ya kupiga kitabu utoke na ujuzi wa maana na GPA tuje tukupe connection, Cha ajabu unawaza ujinga tu unadhani kuwa chuo kikuu ni sifa ukute chuo chenyewe ni St John 😭😭😭😭😭😭Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.
"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"
Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Huko chuo umefikaje?
Labda utuambie umeshindwa kuelewa huo uandishi wa kibeki tatu lakini kama umeweza kusoma naamini na kuelewa alichomaanisha umeweza.
Hataki tena usumbufu wako ana mtu wake anayempenda.
Ukute wapo vile vya kuunga mkuuHuo mwandiko mpo vyuo gani nyie vichaaa??
It's general kwamba ukiwa tu mtaani unakuwa na cash?.Ndio ujinga wa maisha, Ukiwa Chuo watoto wanakua wakali balaa halafu unakua na "appetite" sana sema unakua huna "cash"!
Ukiwa Mtaani unakua na cash ila sasa unakua huna muda, huna appetite, una majukumu! Dah unakua unapishana na fursa!
Babe ugu...Chuo kikuu chuo kikuu ajira hakuna wewe unawaza ujinga badala ya kupiga kitabu utoke na ujuzi wa maana na GPA tuje tukupe connection, Cha ajabu unawaza ujinga tu unadhani kuwa chuo kikuu ni sifa ukute chuo chenyewe ni St John 😭😭😭😭😭😭
Niambie my lovely, kwanza umeachana na yule fundi magari au!Babe ugu...
Khaaaa! Jamani...Hiyo writing mmh kweli chuo ameenda kusomea ujinga
Ila nemuelewa kasema koma kabisa kummendea na mpua wako huo kama bakuli
Huyu yupo choo kikuu sio chuo kikuu🤪🤪🤪Hiyo writing mmh kweli chuo ameenda kusomea ujinga😀
Ila nemuelewa kasema koma kabisa kummendea na mpua wako huo kama bakuli🏃♀️