Nimeandikiwa kipimo cha endoscopy

wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
Vipi majibu yanasema una tatizo gani?
 
Colonoscopy inaweza kukata na kipande cha tissue km kuna tumor au mass kwa ajili ya vipimo zaidi.usiogope mungu atakusaidia!
Uzuri wa utumbo hata kama una tatizo wanaweza kuukata na kuunganisha na pipe ingine.pia utumbo mpana unaweza kutolewa wote kisha pipe inaungwa hadi tumboni chini ya kitovu panatobolewa haja kubwa inakuwa inatokea hapo na kuingia katika mfuko maalum ambao mgonjwa utakuwa unaubeba na kutembea nao.lakini mungu atakusaidia haitafikia huko

Duh mkuu hapa umemtia moyo ama umemtisha?
 
Wandugu kwa Tanzania sehemu gani wanafanya hivi vipimo na wana vifaa vya kisasa?. Naulizia ile ambayo una lala kabisa
 
wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
Mkuu umefikia wapi juu kipimo cha colonscopy
 
Back
Top Bottom