Nimeandikiwa kipimo cha endoscopy

wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
Maana pm yng inazingua sjui nikwangu tu..ndo maana nimeamua nikufuate kwa huku kwenye nyuzi yako
 
Nooo ,kutokana na side effects wanazozielezea
Hamna side effects ndugu yangu!
Watakupiga nusu kaput, ukiamka kazi imekwisha!
Lakini kama unapesa safi nenda Nairobi hospital kwa professor lule, alimtibu baba yangu three years ago amepona kabisa!
Pole sana na Mola awe nawe
 
Huko nairobi gharama zake zikoje za hiko kipimo...na lugha vp uko hospital kingereza wengne hakipandi
 
wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
Mkuu vp nakutafuta tuongee
 
Mkuu achana na maneno ya watu wahovyo hovyo, na nyinyi mnae post vitu visivyo julikana wakati watu wanamatatizo na yanahitaji ufumbuzi hii sio sahihi sana ,kwa kawaida hii kipimo kinaangalia mambo mengi ikiwepo vidonda,uvimbe kwenye utumbo mkubwa ,nilishawahi kufanyiwa hiki kipimo ni rahisi sana mkuu toa hofu kabisa.
 
Gharama yake iko kipimo nishingap na ulifanyia hospital gani
 
Mkuu achana na maneno ya watu wahovyo hovyo, na nyinyi mnae post vitu visivyo julikana wakati watu wanamatatizo na yanahitaji ufumbuzi hii sio sahihi sana ,kwa kawaida hii kipimo kinaangalia mambo mengi ikiwepo vidonda,uvimbe kwenye utumbo mkubwa ,nilishawahi kufanyiwa hiki kipimo ni rahisi sana mkuu toa hofu kabisa.
thanks mkuu nimeshafanya
 
Mkuu vp nakutafuta tuongee
mkuu nimefanyia regency hospital gharama kama 2k hivii ila kama bima unayo unatumia ,japo kunakua na dawa za kununua zinazocost kama 70000 tu .its simple ila usiwe tu na woga kama niliokua nao mimi
 
Shida yako imegundukika ni nin..
 
wasaalam wana jf doctor
leo nimeenda hospital kwa matatizo yangu ya tumbo na doctor amenitaka kufanya kipimo cha colonoscopy,jamani naombeni ushauri wenu maana naogopa sana .
samahani nimekosea heading ilitakiwa iwe colonoscopy
Mkuu kwako imeonekana shida ni nin mkuu ilioinakusumbua..na apo hosptal regency umeonana na daktar gan..maana nami nataka niende apo..vp ulifanya endoscopy au colonscopy
 
Unapigwa nusu kaputi au maana na mim nataka nije hapo regency kufanya iko kipimo..na unaonana na daktar aliespecialize ktk nin. .. Na umefanya colonscopy au endoscopy
yaah nus kaputi inahusika mkuu
 
Unapigwa nusu kaputi au maana na mim nataka nije hapo regency kufanya iko kipimo..na unaonana na daktar aliespecialize ktk nin. .. Na umefanya colonscopy au endoscopy
colonoscopy ,nilimwona dr wa maswala ya tumbo
 
Back
Top Bottom