Nimeamua niwaweke sawa leo katika mambo haya

Jun 17, 2016
36
22
Baada ya kuona kuona mada mbalimbali umu jamii forums kuna baadhi ya vituvitu furani vikititokezaga huwa vinazua utata ambapo kila mtu anatoa perception zake sasa nimeona bora niwaweke watu sawa katika baadhi ya mambo hayo ambapo naamini ninachoandika mimi ndicho sahihi kuusu mambo ayo

1) kuhusu ni je pesa ni mafanikio au kuna mafanikio bila ya kuwa na pesa__jibu ni kwamba katika dunia yasasaivi usijidanganye kuzungumzia mafanikio bila yakuhusisha pesa kwasababu ndio medium of exchange, ukisema sijui nani kafanikiwa sijui billgate ujue pesa imeplay part yake kwanjia yoyote ile naamini utaelewa zaidi ukufanya research

2) kuhusu kwamba elimu tunayopata aitusaidii katika mazingira ya kawaida__kwamimi kwanza nikimsikia mtu kama uyo nahisi aishi katika sayari hii ni kwasababu katika maisha yako yakila siku unaona application ya elimu mfano madaktari,wahasibu,logisticians, engineers nk wote awo wanatumia elimu yao katika mazingira yakawaida

3) kuhusu maneno aya university,college na institute mada hii inakuwaga mziki mnene sikitoto inshot aya ni majina tu ambayo sikuzote hutumika sawa katika mambo furani yakitaaluma na hill aliepukiki ataiwevipi mfano neno UE ni university exiam lakini nilitumika mpaka kwenye institute na college atuwezi sema eti IE na CE especially DUCE mtiani wa watauwita vipi UE au CE,

tuachane na hilo kuna watu wengi urise wanapoona list kama ivi ni vyuo vikuu bora MTU ana jaji akiona IFM IPO pale inshot ieleweke tu ivi vote vonatoa uduma moja tu ifm,udsm,nit vyote vinatoa degree sasa kwenye ubora wa elimu utatenganishaje eti kisa vinamajina tofauti

Qns: TCU ni tume ya vyuo vikuu lakini inasimamia mpaka institute na college discuss why
NB: taasisi za elimu ya juu zinamajina mengi mf university, college, institute, school, academy ni

3) kuhusu mfumo wa elimu kwamba unaanzia general kwenda specific yaani mwanafunzi anasoma masomo mengi arafu yanapungua kila anavyozidi kwenda juu mpaka anakuwa na professional moja___inshot wabongo wanapenda karaumu bila kufanya upembuzi yakinifu mfumo unafaida sana kuliko uwo munaousema wamtu kwanza na professional toka chini adi juu

NB: ningekuelewesha vizuri ingekuwa na mdomo,ila uwelewe inchi karibia zote au zote wanatumia mfumo juu

kwa vitu nilivyosahau unaweza kuandika hapo nakutolea suluhisho
 
baada ya kuona kuona mada mbalimbali umu jamii forums kuna baadhi ya vituvitu furani vikititokezaga huwa vinazua utata ambapo kila mtu anatoa perception zake sasa nimeona bora niwaweke watu sawa katika baadhi ya mambo hayo ambapo naamini ninachoandika mimi ndicho sahihi kuusu mambo ayo

1)kuusu ni je pesa ni mafanikio au kuna mafanikio bila ya kuwa na pesa__jibu ni kwamba katika dunia yasasaivi usijidanganye kuzungumzia mafanikio bila yakuhusisha pesa kwasababu ndio medium of exchange, ukisema sijui nani kafanikiwa sijui billgate ujue pesa imeplay part yake kwanjia yoyote ile naamini utaelewa zaidi ukufanya research

2) kuusu eti elimu tunayopata aitusaidii katika mazingira ya kawaida__kwamimi kwanza nikimsikia mtu kama uyo nahisi aishi katika sayari hii ni kwasababu katika maisha yako yakila siku unaona application ya elimu mfano madaktari,wahasibu,logisticians, engineers nk wote awo wanatumia elimu yao katika mazingira yakawaida

3)kuusu maneno aya university,college na institute mada hii inakuwaga mziki mnene sikitoto inshot aya ni majina tu ambayo sikuzote hutumika sawa katika mambo furani yakitaaluma na hill aliepukiki ataiwevipi mfano neno UE ni university exiam lakini nilitumika mpaka kwenye institute na college atuwezi sema eti IE na CE especially DUCE mtiani wa watauwita vipi UE au CE, tuachane nahilo kuna watu wengi urise wanapoona list kama ivi ni vyuo vikuu bora MTU ana jaji akiona IFM IPO pale inshot ieleweke tu ivi vote vonatoa uduma moja tu ifm,udsm,nit vyote vinatoa degree sasa kwenye ubora wa elimu utatenganishaje eti kisa vinamajina tofauti
Qns: TCU ni tume ya vyuo vikuu lakini inasimamia mpaka institute na college discuss why
NB: taasisi za elimu ya juu zinamajina mengi mf university, college, institute, school, academy ni

3)kuusu mfumo wa elimu kwamba unaanzia general kwenda specific yaani mwanafunzi anasoma masomo mengi arafu yanapungua kila anavyozidi kwenda juu mpaka anakuwa na professional moja___inshot wabongo wanapenda karaumu bila kufanya upembuzi yakinifu mfumo unafaida sana kuliko uwo munaousema wamtu kwanza na professional toka chini adi juu
NB: ningekuelewesha vizuri ibgekuwa na mdomo,ila uwelewe inchi karibia zote au zote wanatumia mfumo juu

kwavitu nikivyosahau unaweza andika apo nakutolea suruhisho
Kuusu = Kuhusu
Inchi = Nchi
Inshot = In short

Nakurekebisha kabla dada yangu FF hajaja kukutumbua na msemo wake maarufu "HUKO SHULENI MLIENDA KUJIFUNZA UJINGA?"
 
HILO la institute na universitu ungelitolea upembuzi yakinifu mana raia weng ni hawaelewi hii kitu
 
Kuusu = Kuhusu
Inchi = Nchi
Inshot = In short

Nakurekebisha kabla dada yangu FF hajaja kukutumbua na msemoa wake maarufu "HUKO SHULENI MLIENDA KUJIFUNZA UJINGA?"
Faizafoxy kawa banned, ngoja sisi tuchukue mikoba yake!!!
Mweleweshe huyu asifikiri hapa ni fb
 
Kuusu = Kuhusu
Inchi = Nchi
Inshot = In short

Nakurekebisha kabla dada yangu FF hajaja kukutumbua na msemoa wake maarufu "HUKO SHULENI MLIENDA KUJIFUNZA UJINGA?"
Asa we katika mada aliyotoa mkuu umeona hayo tuu af yule ni dads tunaeza sema ni tabia za kike asa na we ka unaiga u kike haya
 
Institute inajihusisha na vitu vya aina moja MF Institute of Technology ni technology tu.
 
Kuusu = Kuhusu
Inchi = Nchi
Inshot = In short

Nakurekebisha kabla dada yangu FF hajaja kukutumbua na msemoa wake maarufu "HUKO SHULENI MLIENDA KUJIFUNZA UJINGA?"


wabongo ndomlivyo yaani unajitia aibu mwenyewe ukiwa umeandika sentensi moja tu ushakosea msamiati je ungeandika habari ndefu kama yangu ungekosea maneno mangapi ,yaani jitu baada ya kuchangia linareta uozo tu kulikuwa na faida gani ya wewe kuwa umu
 
Back
Top Bottom