Nimeamua Kuwakomesha Wote Wanaoniibia

Nimeamua Kuwakomesha Wote Wanaoniibia

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,201
Funguo nakaa nazo mimi mwenyewe, nione kama mtaendeleza tabia yenu ya kuniibia:
 
Binti.com
Suluhisho zuri lakini niruhusu na mimi nifunge kwako nibaki na funguo zako au unasemaje.
+
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh teh teh..kufuli aka kinga
 
Ndogo na kubwa unazikuta mumo jioni akirudi.
 
Funguo nakaa nazo mimi mwenyewe, nione kama mtaendeleza tabia yenu ya kuniibia:

Mtengenezee na mobile toilet atembee nayo vinginevyo utawajibika kila muda wa kwenda toilet kuwa naye karibu. Nafikiria kipuuzi tu, akishikwa na tumbo la kuendesha na wewe haupo jirani, sijui hali itakuwaje?!
 
are u crazy? atajisadiaje kama haupo? ningekua mimi ningekufunga na wewe.
 
mbona sioni kitu aisee au kamchina kangu kabovu..
 
hiyo sio suluhisho kwan kuna master keys nyingi sana, utaibia huku ukiamini mambo ni shwari.
 
Yazamani sana halafu wala sio njia. Njia pekee nikumrudia mungu.
 
Back
Top Bottom