Nimeamua kutulia nae, lakini...

kuna fani flani zinatakiwa tuwaache waoane wenyewe kwa wenyewe.
 
Asilimia kubwa ya wasanii wa muvi za kibongo huigiza hata kwenye maisha yao halisi...

Just saying.

unasema ukweli,coz sometimes nafikiria hivo!!..
 
kuna fani flani zinatakiwa tuwaache waoane wenyewe kwa wenyewe.

mmh..tatizo moyo!!.
.alivyokuwa ananiambia na anavyoongea mpaka nikahisi anaigiza nilipoona anyamazi nikamwambia aache kwani hamna camera mbele yetu.. hii sentensi ilimkwaza akaniangalia kwa mda halafu akaniambia kwa hiyo unaona nakuigizia hapa.
 
Hakuna mapenzi kwa wasanii wa bongo ni ngono tu kwenda mbele. Hata ukiletewa ushahidi wa picha au video akiwa anachepuka atakwambia "Baby it's one of the scenes of my new coming movie"
Mtanisamehe wale nitakao wakwaza ila ndiyo maoni yangu.

sidhani kama umemkwaza mtu!!.kama ndo ukweli sema tu.
 
sidhani kama umemkwaza mtu!!.kama ndo ukweli sema tu.


...ww mwanamke una kichwa kigumu ka jiwe...hiv once ur told BONGO MOVIE ni NGONO KWA SANA...huelewi...?? afu ww kama unang'ang'ana ya nn
umekuja hapa...? papuchi yako itagegedwa na ndoa hakuna hapo...bongo movie wote MALAY.A...sasa ukimambiwa unasema eti moyo wako...sie wengine hatuna moyo...nina zako..!!! tumia akili kufikiri sio mas.abur ww...au eti unasema unashawahi kupenda..? it seems ww msh.amba hadi utendwe ndio uelewe...I
dought ur IQ....hiv bongo movie kuna wapenzi pale..?? ww hauko sawa ww...ushaharibikiwa...tena short mindend...afu unajitetea hufuati pesa kwake...acha zako
ww...UTAJA LIA HAPA HAPA...sbb husikii kabisaa....chicken head cjui...!!! kuna wanawake wengine majanga na laana...bongo movie ni wa
kuongelea..ptuuuuuhhh...!!! .mara unasema huongelei
kazi yake...mara ufikie malengo ...niamiani HAKUNA MALENGO HAPO TO BE HONEST...tatizo lako una ufahamu ZERO...sisi tunakwambia bongo movie wote m.ala.ya...kama ww uko huko sasa why seeking advice here...perhaps ur the one...ushauriki..go to hell...!!!
 
Binafs mapenz ya mastaa no ni presha tupu hawaridhiki wao kwa wao hawawezani ukweli ni wasanii mpk kwenye uaminifu kwao ni zero
 
thanks MR. PRESIDENT

..
.%%% Sema wazi uko mkoa gani...if in Dar...nikuelekeze mwenyewe UJIONEE WAZI UCHAFU WA bongo movie...

...sio ww tu...mimi kuna mdada namjua hadi
anaambiwa USITEMBEE NA MWANAUME
FULANI ANA NGOMA...HUYO MDADA HASIKII...hadi
wazazi wake wako Kawe...wamempigia kelele za kufa mtu...jamaa akawa anazidi mtongoza...demu akakubali kulala nae....takriban mwaka sasa na nusu hivi waliachana mara baada ya kulala nae mara moja tu
jamaa katimua..hampati tena online...demu wa watu mzuriiiii KAADHIRIKA...alichanganyikiwa kabisa kabisa...hadi sasa anahudhuria counseling....

..NA WW INAVYOONYESHA UR BACKGROUND UNA MATATIZO YA MAPENZI...hauja tulia...kama
ulivyoanza thread yako...kuna maumivu uliyapata..na
ukashindwa yatatua...na kufuatilia mawazo yako naona ni KUSHAURIWA MGUMU MNO PIA...ur not flexible...huenda ndio mahusiano yako ya awali yakakushinda...sasa HUONI ni kama unalipiza...na hata HUONI...hadi BONGO movie huwajui..?? don't lie urself eti hujali kazi yake...!!! kuna kazi umalaya is part and parcel ya hiyo kazi...mfano Bongo movie..dancers...wauza bars...casino girls...night clubs djs...be very careful...
 
mmh Dinazarde jamani...sijapenda

Yaan sorry kwa hilii lakin tuombe Mungu tu shost sema haupo timu kuna Pm ungeipataa nahis utazimiaa kwa uchafu wanaofanya vijana wa kiume waliopo bongo moviee TATIANA usijee tuma pm tafadhwaliii
 
Last edited by a moderator:
Yaan sorry kwa hilii lakin tuombe Mungu tu shost sema haupo timu kuna Pm ungeipataa nahis utazimiaa kwa uchafu wanaofanya vijana wa kiume waliopo bongo moviee TATIANA usijee tuma pm tafadhwaliii

Sawa Mamy
 
Last edited by a moderator:
unataka kujua jina langu?!..kwani kina fatuma wakoje,acha dharau ndugu yangu hujafa hujaumbika.
Wakina fatuma wanatabia kama yako unayonesha hapa..ambayo sio nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…