Nimeamua kutulia nae, lakini...

Dada yangu akiniambia kapata mwanaume yuko bongo movie ntamwambia tu ..grow up please
 
au kama vipi kaleni kiapo angali penzi halijachachuka

mamy...mda mwingne ananiona na wasiwasi sana juu yake anajitahidi kunitoa na kunihakikishia kunipenda..lakini bado kamoyo kanauma,natamani mda wote niwe nae.
 
MMU kwa stori za uongo...khaaa!!
 
mamy...mda mwingne ananiona na wasiwasi sana juu yake anajitahidi kunitoa na kunihakikishia kunipenda..lakini bado kamoyo kanauma,natamani mda wote niwe nae.

jiamini uko peke yako bidada presha presha ya nini
 
Punguza hisia tambua beby wetu yuko kazini na uikubali kazi yake....wivu ukizidi unabomoa ukuta

kwel eeh..ntajitahidi dia..inabidi nipunguze wivu,.nakumbuka kuna siku alinikuta na rafiki yangu kumtambulisha wakati tunaondoka,bibie akaniomba namba nikaishia kumtukana..baada nikajilaumu bora ningemuelewesha tu.
 
Na bongo movie wanaume wengi wanaliwaaa sijuii wako atakua kasalimikaaaa lol,polee
 
Makubwa sana haya Yaani kumpenda umpende wewe halafu msaada wa mawazo tukupe sisi? Kwa mfano tukisema achana nae atakuletea UKIMWI utasemaje? Haya njoo kwangu basi

Hahahaha Elli changamkia tenda hiyo lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ukifuata alichokushauri miss neddy kwenye post number 5 utaushinda moyo wako na maisha yataendelea. Epuka Blood pressure wewe bado mbichi sana!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…