Nimeamua kusema hadharani

 
ukweli utakuweka huru siku zote....hongera boss!
 
Mimi ninataka kufahamu hii research yako ulikuwa chabo au mwili wako ulikuwa research method?
 
Msiyakimbie matatizo yawekeni wazi kuwa sasa hivi hizi nyuchi za wapenzi wetu hazina ladha km zamani ndio maana tunashindwa kupiga nyingi. Wewe jaribu umpate dem mpya halafu awe mtamu uone utapiga ngapi. Hii minyuchi wanaijaza asali,giligilani na mauchafu mengine yanakuwa sio matamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The first erogenous zone is your Brain!
Kuwa na kifua kikubwa kwa sababu ya gym haimanishi utaumudu mchezo!

Inategemea ni misuli ipi unaisisimua ukiwa gym!
Uume umetengenezwa kwa misuli (smooth muscles)!

Shina la uume limeshikizwa na msuli mmoja wa muhimu katika suala la kudindisha(erection) unaojulikana kama pubococcygeous (PC).

Msuli huu wa PC unaweza kusisimuliwa kama mtu anavyosisimua misuli ya kifua au mikono au sehemu ya mbele ya tumbo!

Acheni kuwapaka mate huko!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
 
Mi mbona jana tu nimemkaza mke wangu bao tatu za nguvu na nna watoto watatu naye katika interval ya miaka 14.
 


WAVULANA BWANA, INATEGEMEA HILO MOJA NI LA AINA GANI, KAMA NAPIGA MOJA LA DK 30, NA WEWE UNAPIGA 8 YA DK 2 2 KILA MOJA, 2X8 = 16dk, kwa hiyo kupima uwingi kwa magoli ni UPUMBAVU, cha maana ni Ubora. Cha maana unayetembea naye aridhike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…