myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
Salaam
Nimeanza tena kuwafuga njiwa ambao ndio ilikua furaha yangu ya utoto enzi za shule ya msingi na Secondary(form1&2)
Ni denge wapenda Amani na nyumba yenye ugomvi hawakai
Pia wana hisia pale yanapotokea matukio kama Msiba na Mambo ya kishirika...
Wana mapenzi ya kweli kuliko hata sisi binadamu.
Pia huwa wanaleta baraka ndani ya nyumba..
Hawa ndege wamenifanya niufurahie sana utoto wangu kwani nilikua nao wengi zaidi ya 150..
Japo sasa ni mtu mzima na nimeoa tayari,Nimeamua kuirundisha tena hii furaha..
Mnaopenda Njiwa kama mimi Tutambuane tafadhari