Nimeamua kuoa baa medi

aiseee, umenifurahisha bibie. Thanx

Asante mkuu! IMO jamaa anaonekana ni the problem na hayuko makini (though atabisha). Katawaliwa na idea kuwa mke mwema anapatika kundi flani, to verify this attitude soma hiyo part anayosema kwamba ameshajaribu wasomi wa elimu ya juu, warembo, matajiri n.k. Hivo barmaid kwake ni last choice baada ya kuwa amefail kote!!! Anajiaminisha kuwa kundi flani ndo litamfaa, pole yake!
 
we kama umependa oa maswal ya kusema cjui wasomi,cjui kazi nzuri hayo inategemea na m2 n pia ni tabia ya m2 kijana rekebisha kauli
 
Unaweza ukaniambia connection iliyopo kati ya USOMI na MATUMIZI YA MB......CHE hadi kuwa mbovu????? (a've named it as per ur say). Mind you, argue with facts and not by matters of mere opinions!!!

Nicheki faragha nitakueleza. maana nikieleza hapa hizo sababu hii thread itafungwa au itahamishwa, na mi sina ufunguo wa kuingilia huko kwenye jukwaa lenu.
 

Bibie hulali wee.
Naona hapa ulicharuka kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…