kid ink tz
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 307
- 320
Mapenzi yetu yalianza kitambo sana mpk hii Leo tulikuwa tunatimiza miaka 2
Chanzo cha kumu acha baada ya kuanza kunizungusha game. Hali hii Ali anza mwezi wa 8, nilivumilia nikijua ata badilika lakini ikawa hamna jipya.
Nikimwambia kwann hutaki sex ana nijibu mm saiz siji sikii kufanya sex
Wakati mm sex kwangu km chakula.
Nauliza hivi ni kweli wanawake inafika sometime hupendi Ku sex au huyu alikua ana kitu chake