Nimeamua kumtongoza mdogo wake ili kulipisha muda alionipotezea

Mahusiano yetu yamemaliza miezi miwili, Parasitism ndio iliyotawala mahusiano yetu. Amefaidi pesa zangu lakini kuhusu kulala naye amekuwa mgumu. Nimemvumilia vya kutosha. Nimebembeleza kama mtu ambaye ndo kwanza anamtongoza binti aliyemkatalia. Nimechoka.

Wiki iliyopita kanifuata kuniomba 5k ya Pedi, naanzaje kuitoa wakati kinachokwenda kusitiriwa sipewi nikakifaidi? Ni mara ya pili sasa namfuma somewhere na wanaume japo ni mazingira ya wazi.

Nimeamua kumtongoza mdogo wake, leo ni siku ya pili tunadet. Acheni tu amsaidie majukumu

Ni hayo tu ndugu zangu
Sasa unataka kila umuombaye "u-house" akupe tu kama jojo?Uwe na uelewa.Uombapo kuna kupewa au kunyimwa.Atoaye bila masharti au migomo ni Mungu tu.Imeandikwa ..."ombeni (kwa Mungu)nanyi mtapewa"...!
 
Mahusiano yetu yamemaliza miezi miwili, Parasitism ndio iliyotawala mahusiano yetu. Amefaidi pesa zangu lakini kuhusu kulala naye amekuwa mgumu. Nimemvumilia vya kutosha. Nimebembeleza kama mtu ambaye ndo kwanza anamtongoza binti aliyemkatalia. Nimechoka.

Wiki iliyopita kanifuata kuniomba 5k ya Pedi, naanzaje kuitoa wakati kinachokwenda kusitiriwa sipewi nikakifaidi? Ni mara ya pili sasa namfuma somewhere na wanaume japo ni mazingira ya wazi.

Nimeamua kumtongoza mdogo wake, leo ni siku ya pili tunadet. Acheni tu amsaidie majukumu

Ni hayo tu ndugu zangu
Kumbe ndo Mambo yako,..... Sasa utasubiri sana
 
Kama hawa ndio Vijana tunaotegemea wajenge Nchi tuna hasara!!!
 
Kuna sindano za kuzuia maambukizi ya HIV

27d74863-8db7-4dc0-abe3-3dcd8bc34564.jpg
 
Wiki iliyopita kanifuata kuniomba 5k ya Pedi, naanzaje kuitoa wakati kinachokwenda kusitiriwa sipewi nikakifaidi? Ni mara ya pili sasa namfuma somewhere na wanaume japo ni mazingira ya wazi.
Ndo hivyo mkuu, wanawake hawana maana. Jana kuna mwanamke wa jirani yangu alikuwa anabuluzwa kipigo cha kufa mtu, sikutaka kuingilia mpambano ule wa ngumi jiwe aina ya ndoige, nikaamua kufuata yanayonihusu

#wanawake hawana maana
 
Back
Top Bottom