Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 998
Y nyie wanawake mnaona kugegedana ni kana kwamba umeliwa? Ahh muacha e na hiyo dhana potofuHujakosea 😀😀
Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalip...
Eeh mkuu nilitaka kubembelezwa[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa wee nae bwege kweli kwa hiyo ulitaka akubembeleze [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulishasema jamaa hajatulia means he got options. Umebugi
We kweli brek ya kenge vp kwanza ushapona miwasho[emoji3]Nipo hapa nlijua utanianzishia sredi kwa jinsi nilivyokuona una mapepe, nenda zako sina mpango na ww
Ila nayeye atakua kaumia mkuu, hembu nitie moyo bas[emoji3]Hujakosea [emoji3][emoji3]
Mihemko yako ndo ilifamya uone kama anakutaka… umejiskia vibaya kuona ye hayuko mawazo yako yalipo
Ukajipa moyo umuache as if mlikua kwenye mahusiano
Mwenzako hana shida we ndo unatapatapa sasa
In short akirudi atakukula na urafiki hautaendelea utaumia kuliko sasa
Ila polee[emoji6]
Ningefanyaje mkuu na wakati jamaa Kama ananipenda huku anajifanya madam madam, namwambia nimemiss yy anasema Asante. We unaona iko sawa kweli ndugu yanguUmekosea sana.
Unapoanzisha vita, hakikisha kikosi chako ki imara, sawa Madam?
Hebu rudia kusoma sred yako uone mwenye miwasho kati yangu na wew nani[emoji23]We kweli brek ya kenge vp kwanza ushapona miwasho[emoji3]
We jamaa c ulitoa post unaumwa miwasho, mm nikakushaur itakuani faungus nenda hospital Leo umesahau ndo nakuukiza unaendeleaje rafiki yangu brek ya kenge[emoji3]Hebu rudia kusoma sred yako uone mwenye miwasho kati yangu na wew nani[emoji23]
Aisee kumbe mkuu umemuambia kabisa umemiss halafu jamaa anazingua.Ningefanyaje mkuu na wakati jamaa Kama ananipenda huku anajifanya madam madam, namwambia nimemiss yy anasema Asante. We unaona iko sawa kweli ndugu yangu
mmmhhEeh mkuu nilitaka kubembelezwa[emoji3][emoji3]
Ooh kumbe, nilipona mkuu sahv napeleka moto kama kawaida[emoji23]We jamaa c ulitoa post unaumwa miwasho, mm nikakushaur itakuani faungus nenda hospital Leo umesahau ndo nakuukiza unaendeleaje rafiki yangu brek ya kenge[emoji3]
Nuzu ulale Sasa😁😁, au upo kwenye harusi🤗Ukiachwa achika