Nimeamua kula sahani moja na wakufunzi wanaonyanyasa wanafunzi vyuoni

Nakuunga mkono katika movement yako lakini inatakiwa ujue wanaogegedwa 80% hua ni ridhaa yao! maana wanafunzi wengi wakike wanadegree za chupi! Wanagegedwa sana kuomba "A" au kuchomolewa Sup a.k.a Chuma!
Huu ndio ukweli, huu ni mwaka 5 katika vyuo viwili tofauti nimeshuhudia mwanafunzi 1 tu alietaka kupitiwa bila ridhaa wengine wote wanajipeleka
 
Hata hapa nakuhadithia,
Nilikuwa nasoma chuo fulani hapa dar,miongoni mwa ma lecturer aliekuwa anatufundisha semester ya 4,yaani semester ya 2 ya mwaka wa 2 alianza figusu..wapo ambao alipiga na wengine tukawa tuna mtolea nje,nikiwemo mimi. Watu wenvi tulimchukia,na darasa ambalo msichana alimkataa basi darasa zima waa on fire.Nakumbuka ilikuwa Ku sign course work nikajikuta Nina 7,nilipagawa. Nilivomfata na karatasi zangu za mitihani ya nyuma na quiz akazichana chana nikakosa ushahidi. Akanambia nikitaka nipige nae mechi hata moja. Ilikuwa Jambo la aibu na fedheha lakini yeye hakuliona hilo na kwa madaraka yake na ukizingatia alishachana vielelezo vyangu akajua nimekosa ushahidi hivo siwezi kwenda popote nikaeleweka bila vielelezo. nitakuja Ku sapua mwisho ni carry.

Kwa hasira niliondoka nikarudi nalia darasani,nilikuwa na marafiki zangu wa4,wa3 wa kiume na mmoja wa kike. Nilivo wa hadithia wale wa kiume wakapandwa na jazba,wakanipa mpango,ulikuwa na risk kiasi. Nikamfuata nikamwambia nimekubali,akachukua namba angu ya simu kama siku 2 mbele kuna lodge akanambia niende. Nikaenda na rafiki zangu na watu wengine tukawa kama 7 hivi. Nilivoingia kule room akaanza kujisifia kula wasichana wengi pale chuo,akanitajia wa darasani kwangu pia.akasema tena hakuna wa chomoka mikononi mwake unless asikutamani na anasema kabisa hapendi ila anatamani tu na akishakutia hana time na wewe,utanufaika kupata A tu. Mie nikavua nguo nikaingia washroom nikawatext marafiki zangu,hapo alikuwa ashalewa lewa kidogo.
Huko nje wakampa mtu wa reception elfu 15 wakaingia,kama dakika 5 nikasikia mlango unagongwa. Akauliza nani,yule rafiki angu wa kike akajibu nimeleta taulo,akajibu tunalo. Hakufungua.

Mi nilivotoka kule washroom nikamkuta ndio anavua nguo alichoweza ni kunishika hapa na pale,hata denda nilimkatalia nikamwambia unanuka pombe mie sinywi inanikera. alivovua zote nikasimama nikafungua mlango,wakazama kundi lote na kamera ya Nikon. Wakampiga picha za kutosha,hawakusema lolote nae,wakanisubiri nivae tukasepa.

Nikaziweka kwenye memory card nikamfuata j3,maana tukio lilikuwa jmos hivi,nikamwambia either unaniandikia marks zangu au naziachia picha zako chuo kizima na huko nje (ameoa na ana watoto wengine wakubwa kidogo) wajue uchafu wako.nikamdanganya na nimekurekodi hata Yale uliyokuwa unasema.
Akanirekebishia marks zangu,nikafanya final na nikapass vizuri tu. Ndio nikampa ile memory card under terms, asinifatilie kabisa wala kujaribu kunifanyia baya lolote nikamwambia hata nikifa lile kundi lililokuja wataachia hii picha.

Kiukweli bila rafiki zangu nadhani ningetmbwa na mimi,walini saidia Sana na kukiokoa katika huo mtego. Lakini yule lecturer hatonisahau nadhani hata Leo akitajiwa jina langu lazima atetemeke.

Huyu mtu bado yupo kazini?
 
Hili jambo hili
Mkuu kama unaweza fanyia kazi,
Lilinikuta na kukaribia kudisco ila nilisimama kikamilifu,
Wengine wanaogopa wanajiachia
 
Kudadekiii Wewe ni Mdada/Mwanamke Shujaa, nimependa Company yako walikuwa Baaaab kubwaaaa
 
Kuna pumbavu moja pale cbe limeharibu sana watoto wa watu.....lina mwambia binti au hata mke wa mtu...jumamosi wahi uje umevaa dila na usivae ka-lock....liliondolewa kwa mtego pccb...sasa hivi limekuwa libabu gafla kama la miaka 120.
 
Hata hapa nakuhadithia,
Nilikuwa nasoma chuo fulani hapa dar,miongoni mwa ma lecturer aliekuwa anatufundisha semester ya 4,yaani semester ya 2 ya mwaka wa 2 alianza figusu..wapo ambao alipiga na wengine tukawa tuna mtolea nje,nikiwemo mimi. Watu wenvi tulimchukia,na darasa ambalo msichana alimkataa basi darasa zima waa on fire.Nakumbuka ilikuwa Ku sign course work nikajikuta Nina 7,nilipagawa. Nilivomfata na karatasi zangu za mitihani ya nyuma na quiz akazichana chana nikakosa ushahidi. Akanambia nikitaka nipige nae mechi hata moja. Ilikuwa Jambo la aibu na fedheha lakini yeye hakuliona hilo na kwa madaraka yake na ukizingatia alishachana vielelezo vyangu akajua nimekosa ushahidi hivo siwezi kwenda popote nikaeleweka bila vielelezo. nitakuja Ku sapua mwisho ni carry.

Kwa hasira niliondoka nikarudi nalia darasani,nilikuwa na marafiki zangu wa4,wa3 wa kiume na mmoja wa kike. Nilivo wa hadithia wale wa kiume wakapandwa na jazba,wakanipa mpango,ulikuwa na risk kiasi. Nikamfuata nikamwambia nimekubali,akachukua namba angu ya simu kama siku 2 mbele kuna lodge akanambia niende. Nikaenda na rafiki zangu na watu wengine tukawa kama 7 hivi. Nilivoingia kule room akaanza kujisifia kula wasichana wengi pale chuo,akanitajia wa darasani kwangu pia.akasema tena hakuna wa chomoka mikononi mwake unless asikutamani na anasema kabisa hapendi ila anatamani tu na akishakutia hana time na wewe,utanufaika kupata A tu. Mie nikavua nguo nikaingia washroom nikawatext marafiki zangu,hapo alikuwa ashalewa lewa kidogo.
Huko nje wakampa mtu wa reception elfu 15 wakaingia,kama dakika 5 nikasikia mlango unagongwa. Akauliza nani,yule rafiki angu wa kike akajibu nimeleta taulo,akajibu tunalo. Hakufungua.

Mi nilivotoka kule washroom nikamkuta ndio anavua nguo alichoweza ni kunishika hapa na pale,hata denda nilimkatalia nikamwambia unanuka pombe mie sinywi inanikera. alivovua zote nikasimama nikafungua mlango,wakazama kundi lote na kamera ya Nikon. Wakampiga picha za kutosha,hawakusema lolote nae,wakanisubiri nivae tukasepa.

Nikaziweka kwenye memory card nikamfuata j3,maana tukio lilikuwa jmos hivi,nikamwambia either unaniandikia marks zangu au naziachia picha zako chuo kizima na huko nje (ameoa na ana watoto wengine wakubwa kidogo) wajue uchafu wako.nikamdanganya na nimekurekodi hata Yale uliyokuwa unasema.
Akanirekebishia marks zangu,nikafanya final na nikapass vizuri tu. Ndio nikampa ile memory card under terms, asinifatilie kabisa wala kujaribu kunifanyia baya lolote nikamwambia hata nikifa lile kundi lililokuja wataachia hii picha.

Kiukweli bila rafiki zangu nadhani ningetmbwa na mimi,walini saidia Sana na kukiokoa katika huo mtego. Lakini yule lecturer hatonisahau nadhani hata Leo akitajiwa jina langu lazima atetemeke.
Napenda ma mafia kama nyinyi .....ungekuwa unanifahamu ungeniita ili nimle 0713
 
Hio vita sio ndogo kama unavyofikiri.....kuna mabinti ndio wanatengenezewa mazingira....pia wapo ambao wanatengenezesha.....MASUALA YA NGONO KATIKA MAISHA YA MWANADAMU NI VERY COMPLEX....ni kama mtaani tu...mdada au binti anaweza mkubali jamaa sababu anapesa...manake anahongwa...WASICHANA WANAFANYA HIVI ILI KUPATA UNAFUU WA MAISHA..na wengi mpaka wanaambukizwa magonjwa...Mambo haya yapo MAOFISI PIA....IN SHORT MAMBO HAYA YAPO KATIKA KILA MAZINGIRA AMBAYO MWANAMKE NA MWANAUME WANAKUTANA NA MWANAUME ANAKUA NA ADVANTAGE ZAIDI..mfano ni Boss,Mkufunzi,Pesa etc...

Ukiwatarget wanaume wa vyuo...utakua unafanya biasness moja kubwa sana....na unaweza ukasababisha wanafunzi wengine wa kike kutumia hiyo chance negatively kudharirisha watu au kwa nia mbalimbali.....

USHAURI WANGU:Anzisha kampein ya kutibu chanzo cha tatizo...kinga ni bora kuliko tiba.....
Anzisha kampein kabambe ya kuamsha uelewa kwa mabinti wote......kaa nao, waambie , ongea nao, tafuta wafadhiri,wekeni vipindi kwenye radio,matangazo etc...ya kuamsha uelewa ndani ya mtoto wa kike na madhara watakayoyapata kwa kukubali kutumiwa kwa namna yoyote tu......

Hiyo njia yako inaonekana ni ya jazba sana....na haina weredi ndani yake.....
 
mpenzi wangu mmoja mbaye ni mwanafunzi wa BAED UDSM mwaka wa tatu aliniambia mara nyingi mazingira ya kuomba rushwa ya ngono yana andaliwa na mwanafunzi mwenyewe kabla ya mwalimu.
 
Bado sijaujua ulimwengu ambao mwanamke hachukuliwi kama 'sex doll'. Kanisani, chuoni, kazini kote nimekutana na hao. Wanajua na wewe unajua kuwa hawatakuhitaji nje ya kitanda, wana familia zao hata baada ya hapana hujibidiisha wakupate.

Hivi huwa haiwezekani wakatuona purely kama mfanyakazi mwenzie au mwanafunzi na wakasaidia kwa sababu ya uwezo wake ikatosha?
Kama rushwa si mtuombe pesa hizo kama mnavyowaomba wanaume?
 
Back
Top Bottom