Wewe ni kiraracha,kirua vunjo, kiborironi au kishimundu?Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifatilia siasa bila kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kwa sasa nafsi yangu imeridhia kabisa kujiunga na CHADEMA kwa ukombozi wa taifa langu. Nipo tayari kuheshimu,kutetea,kulinda na kufata taratibu za chama kwa maslahi ya Nchi yangu. WanaCHADEMA naomba mnipokee! Peopleeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzz!!!!
Jehamanu .
Wewe ni kiraracha,kirua vunjo, kiborironi au kishimundu?
Anaweza kuwa wa Bunda au Kijiji cha GOMBEWewe ni kiraracha,kirua vunjo, kiborironi au kishimundu?
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifatilia siasa bila kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kwa sasa nafsi yangu imeridhia kabisa kujiunga na CHADEMA kwa ukombozi wa taifa langu. Nipo tayari kuheshimu,kutetea,kulinda na kufata taratibu za chama kwa maslahi ya Nchi yangu. WanaCHADEMA naomba mnipokee! Peopleeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzz!!!!