Nimeamua kujifunza Java programming na android development!

Nimeamua kujifunza Java programming na android development!

OnlineFinancial

Senior Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
117
Reaction score
97
Habari wana JF!

Mwaka jana ulipoanza niliweka nia ya kujifunza website development, nashukuru nimefanikiwa kutengeneza website yangu na kilichobaki kuifanyia minor improvements na kuihost (nitaileta mrejesho hapa nikisha i host)!

Sasa huu ni mwaka mpya umeanza na nimeona ni vyema nikajiongezea ujuzi katika hii anga ya teknolojia. Kwa kifupi nimeamua kuanza kujifunza programming, regardless of my background naamini nitatoboa!!

Haya ndio malengo yangu mwaka huu!
​

My vision: Kuwa android developer.

My mission: Kujifunza java programming na android development na kufanya practice mpaka niweze!

Hii safari itagawanyika katika sehemu mbili!​

Sehemu ya kwanza ni kujifunza programming!

Sehemu ya pili ni kujifunza android development!

Nitatenga atleast masaa matatu kwa siku(yanaweza kuongezeka), yaani atleast lisaa limoja ni kusoma new ideas kupitia vitabu na youtube videos then masaa mawili niku practice/ku-code nilichojifunza!

NB:
Nakaribisha wenzangu wenye nia tuanze hii safari ambayo kiuhalisia si safari rahisi ila penye nia pana njia na nna amini tutafanikiwa!

Nakaribisha mawazo yenu wadau!!
 
Nakupongeza kwa hatua uliyoifikia, Naomba uweke hata interface ya website yako hapa tujioneee how it looks like.

Nakuunga mkono kwa 100%, Android developers wanahitajika sana mtaani
 
Nakupongeza kwa hatua uliyoifikia, Naomba uweke hata interface ya website yako hapa tujioneee how it looks like.

Nakuunga mkono kwa 100%, Android developers wanahitajika sana mtaani
Source code yake iko github, unaweza icheki hapa GitHub - lodrickthomas/laravel-web: This is my personal website, It is written in Laravel, Html,CSS and bootstrap! Its still under development.I welcome any observations and improvements!!

Nimeitengeneza kwa Laravel kwenye back end na HTML, CSS, Animate.css na Bootstrap kwenye front end!

Bado inahitaji some improvements kama na wewe uko github unaweza contribute, I will be grateful!
 
Ok, ngoja nikutumie pull request now.
 
Weka snapshot ya website yako angalau page mbili tatu.
 
Weka snapshot ya website yako angalau page mbili tatu.

Home page

home 22from 2018-01-06 11-44-36.png

Functioning Contact page
contact2018-01-06 11-43-49.png

Nimeitengeneza kwa Laravel at the backend, HTML, CSS, Animate.css na bootstrap kwenye front end!

Bado inafanyiwa minor improvements naamini mpaka siku niki host itakua bora zaidi ya hapa!

You are welcome mkuu!
 
Jifunze na Content Management Systems pia.
Nilipanga kujifunza word press ila nia yangu ilikua kujua kutengeneza website from scratch, CMS ni rahisi na sizani kama itachukua muda hasa kwa mtu ambaye kidogo najua what is going on under the hood!!

Shukrani kwa mawazo yako mkuu!
 
avoid kutumia 'import libraries' ovyo ovyo kwenye java, iyo miteremko haitakiwi kama unataka uwe 'mtabe'
 
Ivi unaweza ku code bila ku import libraries au classes? Mfano ukitaka kutumia scanner utaweza bila ku import?
ndio unaweza,japo ni kamzunguko, (husaidia ku optimize dynamic memory wakati app ikirun ), libraries zinalemaza kiukweli, kwa namna moja au nyingine, issue kubwa apa ni kupunguza matumizi yake,
 
ndio unaweza,japo ni kamzunguko, (husaidia ku optimize dynamic memory wakati app ikirun ), libraries zinalemaza kiukweli, kwa namna moja au nyingine, issue kubwa apa ni kupunguza matumizi yake,
Nilikua silijui hili ngoja nitalifanyia utafiti!!
 
Kaka hongera sana kwa kuweka nia. I have a full java tutorial kwenye pc. Ni uvivu na lack of commitment. Ila tuanze hii safari pamoja. I can set aside few hours everday to make it a reality. Coding is VERY powerful. Good luck kwako (na kwangu pia)
 
Niianza mwaka jana ambapo niliweka nia ya kutengeneza website pia nilikua najifunza java ila java niliiacha kwa kukosa muda nikakomaa na web development! Nashukuru Mungu nilipofikia kwenye web development sio pabaya, bado few modifications ili nii host iwe hewani!!

Leo nimeanza kusoma java sio siri ina challenges as unaweza ona kila kitu kipya ila naamini nitafanikiwa!!

Coding is awesome mkuu asikwambie mtu!! karibu tuliendeleze gurudumu la coding!!
 
Back
Top Bottom