simu za tecno za chinia ya 300K nyingi bado zina 1gb ramCheap ni =>250k
Oppo ya bei hio ni sawa na tecno mnazouziwa laki 4 na upuuzi.
Cheap ni =>250k
Oppo ya bei hio ni sawa na tecno mnazouziwa laki 4 na upuuzi.
one plus one unaijua?oppo ndio kampuni mama ya one plus.Hizo simu sijawahi kuziona. Nafikiria ku upgrade kwenda LG G6 lakini sina sababu ya msingi.
Ndiyo naisikia leo. Ama market niliyopo simu hizi hazipo ama kama zipo sijafuatilia sana.one plus one unaijua?oppo ndio kampuni mama ya one plus.
Ngap bei hio dukan mzee babaHapa a33f ndio nimejiweka mzee baba Tajirimsomi
View attachment 501221
Hapa chini kakaa bibie a37f
View attachment 501223
hahaaa mimempiga mchina mmoja hapa job One plus ina ram 6gb storage 64gb only for 400Kone plus one unaijua?oppo ndio kampuni mama ya one plus.