Isack Michael
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 122
- 35
Na shukuru sana kwa ushauri wako naomba pia unieleweshe juu ya hizo front end na back end developmenMkuu kwa hapo ulipofikia angalia wapi unataka! Je front end au back end development!? Ukishapata jibu unaendelea!!
Ila jitahidi kufanyia mazoezi hizo languages mbili kwanza kabla huja move sehemu ingine!! Kila la kheri
Vitabu vinapatikana wap brotherVyuo vyote vinavyotoa IT wanafundisha programming! Ila kusoma programming si lazima uende chuo...unaeza soma mwenyewe online...youtube..vitabu!! Binafsi najifunza alone!!
Zote ni kama branches za web development...kutengeza websites!!Na shukuru sana kwa ushauri wako naomba pia unieleweshe juu ya hizo front end na back end developmen
Na nikitaka kusoma javascript nianzeje?Zote ni kama branches za web development...kutengeza websites!!
Front end..
Huyu ana deal na mwonekano wa mbele wa website...kupanga maneno...animations...kwa kifupi ni kile ambacho wewe user unakiona ndicho anacho anachofanya front end web developer!!
Ili kuwa front end web dev unahitaji kujua css ..html...na javascript!
Back end developer
Huyu yeye anafanya ambayo wewe user huwezi yaona!! Wanadeal sana databases ..servers...hawa ndio wanafanya website ina operate!! Ili kuwa back end dev unahitaji kujua languages kama php ... Python/django...rubby on rails and the alike!! Sio lazima ujue zote hata moja inatosha!
Nb: Hapa unaweza kuwa fit kwenye photoshop au illustrator pamoja na basics za css na html ukawa web designer!
soma kwanza HTML NA CSS maana JAVASCRIPT almost inatumia syntax za HTMLNa nikitaka kusoma javascript nianzeje?
Html na Css tayarisoma kwanza HTML NA CSS maana JAVASCRIPT almost inatumia syntax za HTML
Basi anza kusoma javascript kwa njia ya vitabu, online tutuorials na e-books vile vile unaweza pitia hapa patakufaa sana kama ukipafuatilia kwa umakini w3schools.comHtml na Css tayari
Sasa kabla sijaanza kusoma javascript ndo nisome kwnza c++ au?Najua Php programmers watachukia kusikia hili ila mkuu angusha Php, iweke pembeni uipotezee kwa sasa, unaweza irudia baadaye ikitokea unaihitaji sana.
Umeanza HTML -> CSS -> ?
Your next step naona should be JavaScript.
Sasa kwa nini JavaScript?
1. Kama web developer ni lazima uijue kwa kua ndiyo language pekee inayotumika kweye front-end, yaani huwezi kuikwepa la si hivyo usijiite web developer.
2. Ukiimaster vizuri utaweza kuitumia kwenye backend pia, kuna Node.js ambayo inatumika kutengeneza server, ni pure JavaScript, na tukilinganisha na Php, iko faster zaidi ya 100 times kwenye benchmarks kibao. Ni rahisi pia kutengeneza server very fast kwa Node.js kuliko Php, naongea kama mtu ambaye ni advanced in both, hii najua some people might try to attack me ila ukweli ni ukweli.
3. JavaScript ina ecosystem kubwa sana, kuna React Native framework ambayo ni pure JavaScript, hii unaweza tengeneza mobile apps zinazorun kwenye iOS, Android na later Windows, kwa kutumia codebase moja, na uzuri wa hii framework ukilinganisha na nyingine ni speed, React Native apps zinakimbia kwa speed balaa sawa na zile zilizoandikwa kwa Java au Swift.
So uende hivi HTML -> CSS -> JavaScript -> Database system (MySQL recommended)
Kumaster JavaScript kutahitaji muda mrefu na determination ya kutosha, ila it does pay off well. Php sio language mbaya, ila there's something better out there, sioni sababu ya kuhangaika na Php.
Sema pia ningekushauri kusoma general purpose language kama Java, C++ hizi zitakufundisha mambo mengi yanayofanyika ndani ya computer ambayo yatakuasidia sana in general kua developer mzuri, ukienda kichwa kichwa hutojua jinsi memory inavyofanya kazi, unavyoaccess data kama ni efficient au hapana, ndiyo maana kuna software nyingine zinaenda polepole balaa na nyingine zinakimbia. Hakuna kitu cha muhimu kwenye programming kama kujua "Data Structures na Algorithms" hizi courses mbili zinafunga kila kitu, ndipo utofauti wa serious software developer na amateur unapoonekana.
Je ni vitabu gani naweza nikavitumia na ni namna gani naweza nikajifunza ili niwe vizuri ata pia ili niwe vizuri zaidi kwenye html na css?Basi anza kusoma javascript kwa njia ya vitabu, online tutuorials na e-books vile vile unaweza pitia hapa patakufaa sana kama ukipafuatilia kwa umakini w3schools.com
Sasa kabla sijaanza kusoma javascript ndo nisome kwnza c++ au?
Dah nahisi kama nazidi kuchanganyikiwa.....
nashukuru mungu sana nimepata watu wanawo nipa moyo na kunielekeza nashukuruni sanaHehehe mwanzo mgumu, itafika muda utaelewa ufanye nini, sasa hivi ndiyo upo kwenye stage ya kujaribujaribu mambo kibao bila kujua unafanya nini, wote tumeipitia hiyo.
Karibu sana mkuunikiwa km mwanafunz mtarajiwa wa hii course ya IT nimefaidika jpo cjui kitu ht kidogo na cjaanza bt shukran kwa wote wadau
bt mkuu bdo naangalia kipi chuo kitakachoo nifaa na chenye sifa ya utoaji mzur I mean kwa ma teacher wazur iv chuo gan niende na chitaj vyuo maarufu sana bt nahitaj chenye kutoa elim bora ..ni wap mkuu nipate kwenza udahil ukianzaKaribu sana mkuu
Kwanza unataka kujiunga level gani?? Diploma au degree au certificate?bt mkuu bdo naangalia kipi chuo kitakachoo nifaa na chenye sifa ya utoaji mzur I mean kwa ma teacher wazur iv chuo gan niende na chitaj vyuo maarufu sana bt nahitaj chenye kutoa elim bora ..ni wap mkuu nipate kwenza udahil ukianza
ndo nataka kuanza mkuu certificateKwanza unataka kujiunga level gani?? Diploma au degree au certificate?