MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Aiseee....Maamuzi mazuri japo umeshtuka tayari pashatumika sana, ukipata mwengine uweke ndimu
Tangazo limeeleweka wasubiri pm waje!Wapenzi.
Mwaka unaisha huu nimeamua kuacha kujiuhusisha na mambo ya mahusiano.
Nifanye kilimo hasa mkoa wa Moro.
Faida umekuwa ndogo zaidi ya hasara.
Hasara nazokutana nazo.
Sijapata Mwanaume ananifikisha kunako.
Sipati ile kitu roho inapenda.
Natumia muda mwingi kuwekeza kumuwaza muda wote mtoto wa mama mkwe.
Sipati muda wa kuenjoi binafsi vitu vingi nafanya kwa ajili ya mwingine.
Jamani MAPENZI MZURI MIE YAMENISHINDA KABISA.
Nimechoka kuumizwa .
Moyo wangu unamaumivu[emoji26][emoji26][emoji26]
Na huko kwenye kilimo, siku wakiingia nzige urudi kutuambia kuwaWapenzi.