Nimeamua kuachana na dini, nitamuabudu Mungu kwa utaratibu wangu mwenyewe

Nimejiridhisha kuwa hizi dini zetu hasa hizi kubwa ukristo na uislam ni dini za uongo na uzushi, zipo kwa ajili ya maslahi ya makundi maalumu ili kujinufaisha na kutawala dunia kwa kuwafanya watu wao kuwa wajinga ili watu wachache waishi kwa jasho na damu la watu wengine.

Kuna sababu kubwa nne kuonyesha hizi dini ni utapeli mtupu
Kwanza dini zimeleta vitabu na kujimilikisha hivyo vitabu na kuviita ni neno la MUNGU wakati ni uongo mtupu, tukianza na kitabu cha waislamu kinachoitwa Quran inasemekana maandishi ya hicho kitabu yalitoka kwa MUNGU kwa kuteremshwa kutoka mbinguni!! Na aliyeteremshiwa hayo maandishi ni mtu alieitwa Muhammad, hakuna ushahidi wowote kuonesha ni lini na wakati gani hayo maandishi yaliteremshwa zaidi ya maneno ya uyo mtu Muhammad aliamka tu asubuhi na kuja na hekaya zake kuwa ameshushiwa maandishi na MUNGU.

Ukitizama mengi ya hayo maneno yamejaa chuki,visasi,ghazabu,ubaguzi n.k hapa kuna maswali ya kujiuliza kuhusu uhalali wa hayo maandishi hivi MUNGU kweli aliewaumba watu wake bila ushauli wa kitu chochote, na mwenye uwezo wa kuwafanya chochote muda wowote watu wake aliowaumba, harafu awatumie maandishi ya kuwatisha kuwabagua kwa kuwaita majina ya kutisha kana kwamba hakuwaumba yeye!?

Hapo ndipo unapongundua maandishi hayo hayakutoka kwa MUNGU bali ni mbinu na hekaya za watu ili kuwatawala wenzao kwa manufaa yao.

Tukija kwenye kitabu cha wakristo kinachoitwa biblia!! Unagundua kuwa hakikutoka kwa MUNGU bali ni maandishi ya watu wachache kuweka mawazo yao ili kutawala wenzao kwa manufaa yao ya kisiasa,kimwili na kipesa.

Leo hii tizama maisha ya watu wanaojiita viongozi wa kidini mapadre,wachungaji nk wanaishi kwa jasho la wenzao kwa mahubiri ya kutisha,kuwafundisha kuwapa wao sadaka na kila kitu,uku waumini wakibaki masikini wa kutupwa na wao kukaa mezani na watawala kunywa na kula uku nyumba zao zikizungukwa na ukuta mkubwa walinzi, camera na mbwa wakali!

Wakivaa nguo za gharama,vito vya dhahabu,manukato ya gharama na magari ya kifahari,na wale waumini wenye pesa ndio wanaruhusiwa kuwakaribia ila wale masikini wanaishia kuombewa na kutolewa mapepo!! Masikini wana mapepo!! Matajiri wana neema!!

Ndugu zangu hizi dini zimeleta chuki, mauaji,ubaguzi, zimeondoa umoja zimeleta matabaka na ujinga,tujiulize tu kwa akili ya kawaida zimetoka kwa MUNGU kweli au ni miradi ya watu wabunifu tu wa kale kama waliobuni magari,ndege,simu,umeme nk?

Jibu hizi dini ni miradi ya wabunifu wa kale ambao walizibuni ili kututawala na kula bila kutoa jasho jingi. Mimi binafsi yangu hizi dini naziona kama za utapeli siziamini wala kuzikubali, nina amini MUNGU yupo kabisa sio kwasababu ya dini ni kwasababu ya mazingira na majira,nitatenda mambo mema kwasababu ninapenda amani na ustawi wa watu wote,nitatoa sadaka ila sio katika vikapu vya hawa matapeli ya kiislamu na kikristo ila nitatoa sadaka kwa watu na waitaji wengine ila sio kuwapa hawa viongozi wa dini hizi za kitapeli wanaotaka kula bila kufanya kazi wakati hawana ulemavu wowote.

MUNGU hana ubaguzi wowote kama wanavyofundisha hawa matapeli masheikh na wachungaji.
Hii Doctrine yako inaitwaje? Kwahiyo hapa unataka kuungwa mkono au? Kumbuka Dini ya mtu ni moral right, backed up with legal right, hivyo kisheria unaweza kuamini au kutokuamini uwepo wa MUNGU,ili mradi usivunje Sheria za Nchi.
Mjinga huwa hajitambui, maana ujinga ni blind and hidden behavior,
MUNGU hategemei imani yako ku exist, kwahiyo wewe endelea na ujinga huo
 
Mtoa post hajasema kwamba haamini mungu hayupo! Yeye anadai kuwa dini ndio zina ujanja ujanja na ni utapeli mkubwa pia sio vizuri kumwita mjinga, mbona yeye hajasema kuwa nyie mnaofuata hizo dini ni wajinga?
 
Umeachana na uislam au ukristo? Muislam hawezi kutangaza kuachana na dini yake, we labda ni likristo feki, maana mkristo wa kweli anaijua kweli na thamani ya wokovu alioupata
Hawa Wala rushwa, malaya wanaojiuza mtaani, wezi , wazinzi, wanywa bia,

Hawa wote si ndio waislam na wakrisro ?

Wana tofauti Gani na asiekuwa na dini

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Nimejiridhisha kuwa hizi dini zetu hasa hizi kubwa ukristo na uislam ni dini za uongo na uzushi, zipo kwa ajili ya maslahi ya makundi maalumu ili kujinufaisha na kutawala dunia kwa kuwafanya watu wao kuwa wajinga ili watu wachache waishi kwa jasho na damu la watu wengine.

Kuna sababu kubwa nne kuonyesha hizi dini ni utapeli mtupu
Kwanza dini zimeleta vitabu na kujimilikisha hivyo vitabu na kuviita ni neno la MUNGU wakati ni uongo mtupu, tukianza na kitabu cha waislamu kinachoitwa Quran inasemekana maandishi ya hicho kitabu yalitoka kwa MUNGU kwa kuteremshwa kutoka mbinguni!! Na aliyeteremshiwa hayo maandishi ni mtu alieitwa Muhammad, hakuna ushahidi wowote kuonesha ni lini na wakati gani hayo maandishi yaliteremshwa zaidi ya maneno ya uyo mtu Muhammad aliamka tu asubuhi na kuja na hekaya zake kuwa ameshushiwa maandishi na MUNGU.

Ukitizama mengi ya hayo maneno yamejaa chuki,visasi,ghazabu,ubaguzi n.k hapa kuna maswali ya kujiuliza kuhusu uhalali wa hayo maandishi hivi MUNGU kweli aliewaumba watu wake bila ushauli wa kitu chochote, na mwenye uwezo wa kuwafanya chochote muda wowote watu wake aliowaumba, harafu awatumie maandishi ya kuwatisha kuwabagua kwa kuwaita majina ya kutisha kana kwamba hakuwaumba yeye!?

Hapo ndipo unapongundua maandishi hayo hayakutoka kwa MUNGU bali ni mbinu na hekaya za watu ili kuwatawala wenzao kwa manufaa yao.

Tukija kwenye kitabu cha wakristo kinachoitwa biblia!! Unagundua kuwa hakikutoka kwa MUNGU bali ni maandishi ya watu wachache kuweka mawazo yao ili kutawala wenzao kwa manufaa yao ya kisiasa,kimwili na kipesa.

Leo hii tizama maisha ya watu wanaojiita viongozi wa kidini mapadre,wachungaji nk wanaishi kwa jasho la wenzao kwa mahubiri ya kutisha,kuwafundisha kuwapa wao sadaka na kila kitu,uku waumini wakibaki masikini wa kutupwa na wao kukaa mezani na watawala kunywa na kula uku nyumba zao zikizungukwa na ukuta mkubwa walinzi, camera na mbwa wakali!

Wakivaa nguo za gharama,vito vya dhahabu,manukato ya gharama na magari ya kifahari,na wale waumini wenye pesa ndio wanaruhusiwa kuwakaribia ila wale masikini wanaishia kuombewa na kutolewa mapepo!! Masikini wana mapepo!! Matajiri wana neema!!

Ndugu zangu hizi dini zimeleta chuki, mauaji,ubaguzi, zimeondoa umoja zimeleta matabaka na ujinga,tujiulize tu kwa akili ya kawaida zimetoka kwa MUNGU kweli au ni miradi ya watu wabunifu tu wa kale kama waliobuni magari,ndege,simu,umeme nk?

Jibu hizi dini ni miradi ya wabunifu wa kale ambao walizibuni ili kututawala na kula bila kutoa jasho jingi. Mimi binafsi yangu hizi dini naziona kama za utapeli siziamini wala kuzikubali, nina amini MUNGU yupo kabisa sio kwasababu ya dini ni kwasababu ya mazingira na majira,nitatenda mambo mema kwasababu ninapenda amani na ustawi wa watu wote,nitatoa sadaka ila sio katika vikapu vya hawa matapeli ya kiislamu na kikristo ila nitatoa sadaka kwa watu na waitaji wengine ila sio kuwapa hawa viongozi wa dini hizi za kitapeli wanaotaka kula bila kufanya kazi wakati hawana ulemavu wowote.

MUNGU hana ubaguzi wowote kama wanavyofundisha hawa matapeli masheikh na wachungaji.
ulikuwa dini gani
 
Back
Top Bottom