Nimeamua kuachana na CHADEMA

Mkuu nilishawahi kusoma post zako za nyuma,ulikua muhimili wa CuF Arusha,vipi ukirudi cuf?

Duh CUF ina watu wake tena wanajulikana sema unataka kunichonganisha tu.



Mimi sijui hata kanzu inavaliwaje.
 
Mbona watu Kama nyinyi chadema hawana sasa unavyodai unahama tunashangaa ulikuwa chadema ipii, wewe ni Lumumba mnae ishi kwa buku Saba na mnajipa kiburi kwa kutegemea polisi huna haja ya kumkubali mboe kwa lolote lile.

Umezoea kukariri lini na wapi nimesema nilikuwa CHADEMA ???????.Soma tena bandiko langu bila kengeza la uvyama.
 

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…