S Shinnok JF-Expert Member Joined Sep 26, 2019 Posts 236 Reaction score 564 Jun 14, 2022 #1 Maharage yanaharibu macho so nimeona bora niache kuyala au kupunguza kuyala kwa muda wa mwezi
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,796 Reaction score 48,044 Jun 14, 2022 #2 Mkuu,usifiche sababu
Others JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,205 Reaction score 2,821 Jun 14, 2022 #3 Yanasumbua sana kwenye suala zima la Gesi.
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,754 Reaction score 5,175 Jun 14, 2022 #4 Macho yanaharibiwa na presence of arsenic kwenye udongo hususan ukanda wa pwani na mazao kama mihogo na kadhalika
Macho yanaharibiwa na presence of arsenic kwenye udongo hususan ukanda wa pwani na mazao kama mihogo na kadhalika
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,378 Reaction score 45,025 Jun 14, 2022 #5 Others said: Yanasumbua sana kwenye suala zima la Gesi. Click to expand... Hii gas ya kupikia au?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,709 Jun 14, 2022 #6 ule maharage mpaka yaharibu macho ina maana huweki hata mboga ya majani.
Palina JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,754 Reaction score 10,031 Jun 14, 2022 #7 Mamndenyi said: ule maharage mpaka yaharibu macho ina maana huweki hata mboga ya majani. Click to expand... Watu wakipata hela utawajua tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mamndenyi said: ule maharage mpaka yaharibu macho ina maana huweki hata mboga ya majani. Click to expand... Watu wakipata hela utawajua tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,323 Reaction score 56,061 Jun 14, 2022 #8 Shinnok said: Maharage yanaharibu macho so nimeona bora niache kuyala au kupunguza kuyala kwa muda wa mwezi Click to expand... Punguza punyenye,kujichua kunaharibu macho ,acha kusingizia mboga ya taifa
Shinnok said: Maharage yanaharibu macho so nimeona bora niache kuyala au kupunguza kuyala kwa muda wa mwezi Click to expand... Punguza punyenye,kujichua kunaharibu macho ,acha kusingizia mboga ya taifa