Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Huyu tayari
Kuamka unakuwa umejiamria tu lakini kuamshwa ni kwa neemaKwahiyo umeamuka bila ridhaa yako?
Cha arusha kinafanya kaziHuyu tayari
Atakuwa huyuHuyu si ndiye yule "Yesu" aliyeonekana Nairobi.
We mwanamke una visa sana!Huyu si ndiye yule "Yesu" aliyeonekana Nairobi.