Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,883
- 53,872
Unafanya kaziMkuu nijifungie ndani kweli!
Unafanya kaziMkuu nijifungie ndani kweli!
Nimejiajiri na changamoto ya kazi yangu ni mvua kama unavyoona gari haipiti wala pikipikiUnafanya kazi
Bandugu na huo muonekano unavyokata hatua! Kweli umeamka na kisirani😂😂😂😂😂😂😂Nimejiajiri na changamoto ya kazi yangu ni mvua kama unavyoona gari haipiti wala pikipikiView attachment 1097803
Pole mkuuNimejiajiri na changamoto ya kazi yangu ni mvua kama unavyoona gari haipiti wala pikipikiView attachment 1097803
Hivi kumbe nikweli mi najua unafurahisha genge !!! Hahaha usawa huu bado unapiganapigana vijiweni pole sana
[emoji23][emoji23] mkuu kwani kuna mawe ya aina ngapi?mi sijaelewa umempiga na JIWE lipi?
Nimeshangaa na mm..mm hata unifinye..sirudishi..khaa
Kwa maelezo yako ww ni mshari mshari
kumbuka ni bubu na hasikii piaWakamjaza upepo kua mimini mbaya nimeenda hom kuchukua panga, mara wanamwambia nimepoteza simu naenda kumshitaki
Ndio maana kaja kuniomba msamaha