Nimeamini Yanga wanabebwa aisee

Doctor Stranger

JF-Expert Member
Oct 31, 2020
4,202
6,143
Leo zime tolewa tuzo za mwezi September.. kama kawaida yao kocha Bora Cedric kaze katoka Yanga.. mchezaji bora Serge Mukoko22 katoka yanga.. duh hapa najiuliza yaani biriani lote simba tunalo cheza tikitaka, pasi kisigino hakuna hata mchezaji wala kocha alie kuwepo hata kwenye list ya wanao wania tuzo..
T..F..F haioni hujuma tunazo fanyiwa.. ki ukweli tunashushana maendeleo
#simba_nguvu_moja

Nb.Huyu mukoko atamaliza tuzo.. jamani kama vepe apigwe msumari kama wa fraga
 
...Kabla ya kuandika/kuanzisha uzi kwa mhemko, ni vyema ungejua utaratibu unaotumika kupata kocha bora na mchezaji bora kwa kila mwezi.
 
Utaratibu gani wakati Tanzania nzima inajua Simba SC ni Team kubwa Africa.. hatuwezi kubali kuchafuliwa .. sisi level zetu ni Zamalek,Pyramid sio azam na utopolo
 
Mikia hamna kitu pale ndugu yangu.
Hamna pira biriani niliona pira bamia.
viongozi wanapewa Milioni 10 tu wasajili kiungo mkabaji wanaleta kina ndemla (kisa ni ndugu wa matola),mkude amechoka, wanatusajilia wachezaji walio jichokea hukoo..mfano unyango sijui walitoa laki ngapi
 
Tangu awali nilijua wewe siyo shabiki wa Simba.
 
Kweli lakini mbona biashara walipigwa mechi mbili lakini kocha na wachezaji walikua kwa list..?
Biashara alipoteza mechi moja tu kwa coastal nyingine zote alishinda.

04/10/2020 Biashara 1- 0 Mtibwa sugar

14/10/2020 Biashara 2 -0 Ihefu

19/09/2020 Coastal Union 3- 0 Biashara

25/10/2020 Polis TZ 0- 1 Biashara
 
Uto katika ubora wake

Back
Top Bottom