Nimeamini wanaume tunalia kwenye mapenzi tu sio msibani

Nimeamini wanaume tunalia kwenye mapenzi tu sio msibani

Polee! kwenye mapenzi acha uzuri mali majivuno na sifa zote

ukishikwa shikamana....kwenye mapenzi hakuna mapozi sababu kumpata mwenye mapenzi ya kweli kwako ni ngumu..wewe umempata unamringia???
Bora huyu mvumilivu alikuvumilia sana wengine hawanaga mda wa kupoteza hutaki we nendaaa watakuja wanaojua kupendwa
 
Mimi ni bingwa wa kusuluhisha lete namba zake utashangaa baada ya muda mfupi atakuomba msamaha na mtarudiana
 
We hujamuumiza!?yaani amefanya vizuri sana huyo dada kwa kweli nampongeza,anabembelezwa mume wa ndoa sio hawara.

Kwani wanawake nao wanaumia, mie nilikuwa sijui
 
Polee! kwenye mapenzi acha uzuri mali majivuno na sifa zote

ukishikwa shikamana....kwenye mapenzi hakuna mapozi sababu kumpata mwenye mapenzi ya kweli kwako ni ngumu..wewe umempata unamringia???
Bora huyu mvumilivu alikuvumilia sana wengine hawanaga mda wa kupoteza hutaki we nendaaa watakuja wanaojua kupendwa

Nikisoma maneno yako machozi yanazidi kunitoka mpenzi....
 
Hihihihihihi! Mbona mie nalia tena mchozi ilinimwagika baada ya mpenzi wangu kuniacha wakati bado kumbe ninampenda mpaka kidume mie nachekwa eti ni udhaifu au niliwekewa binzali huku kwenye misiba najifanyaga mie mwanaume wa shoka eti siliagi macho makavu nimekunja ndita tu.

Baada ya kulia hadharani mbele za watu kwa muda wa maasa 5 mfululizo mpaka alipokuja kunitoa mdogo wangu wa kike na kuniambia " kaka nyamaza" ndipo nikarudi geto almanusura nicomit suicide kwa kula asali na tango maana ni sumu kali sana ( don't try at home) ndipo nikaanza kusikiliza zile nyimbo zetu za taratibu huku michozi ikinitoka nikimlilia mpenzi wangu aliyenipiga kibuti hadharani.

Kusema na ukweli mimi ni player sana tena bingwa wa kuzichapa mfululizo na hiyo yote ni kutokana kuwa mimi ni handsome ndio maana nilikuwa nawadharau na kuwapanga watoto wa kike bila kujali wao ndio wananitakaga, nakumbuka wakati nasoma chuo mkoa flani mwaka 2009 nmeshawai kufanya threesome geto na visichana viwili kutokana na ukali wangu.

Sasa tukio hili limeniweka ndani nalia kama toto vile maana mpenzi wangu huyu nilikuwa sionyeshi kumpenda kumbe moyoni ninampenda na yeye amejitahidi sana kunicare na kunipa vizawadi hata mkoani alikuwa ananifata au kunisindikiza lakini kidume mimi nilikuwa sioni na dharau juu mara nyingi.

Nimemwambia tuachane lakini yeye anakataa huku akinisihii bado ananipenda tuendelee mpaka juzi aliponichana live mbele za watu mimi na yeye basi maana amenivumilia sana hapo ndipo nilipoanza kuona dunia inazunguka na kilio kilinitoka bila kujizuia, kumbe ukweli ni kwamba ninampenda sema mapenzi ndio yameniponza. Kumbe bado nampenda na kumbe wanaume tunalia kwenye mapenzi tu ila sio kwenye misiba nimeshindwa kujikaza kiume.

Niombeeni msamaha wana JF

Mkuu vp umepata tena chuo baada ya kudisco mkuu....???...
 
Wewe si Handsome Boy, Achana naye huyo watakufuata wengine........Wewe ulidhani Mapenzi Mchezo
 
Back
Top Bottom