GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Jana BBC English edition ( ya redio ) Saa 4 hadi Saa 5 usiku kulikuwa na MDAHALO maalum wa ni kwanini Bara la Afrika kuna tatizo kubwa la Vyoo vya kujisaidia na upatikanaji wa maji ilhali ndiyo bara pekee ambalo lina vyanzo vingi na vikubwa vya maji.
Kulikuwa na wachangiaji wengi karibu kila nchi ambao kiukweli wote walichangia vizuri sana japo 99% ya wachangiaji walikuwa ni Wazungu ambo sisi Waafrika kila kukicha ndiyo tunawatembezea " Mabakuli " yetu kuwaomba msaada.
Katika michango yote kuna huu mmoja ulichangiwa na huyu Mzungu kutoka nchini Uingereza ambao kwakweli ulinifanya nizidi KUWAPENDA na KUWAKUBALI hawa Wazungu na kuamini kuwa hata katika UUMBAJI yawezekana Mwenyezi Mungu aliwapa AKILI za ziada au UPEO wa ziada kuliko wa Waafrika kwani ALISEMA JAMBO LA UKWELI AMBALO NAAMINI KILA MTU AKILIFAHAMU ATAKUBALIANA NAMI kuwa HAKIKA MZUNGU huwa HAKOSEI na always yuko / wako PERFECT katika mambo yao.
Kwa heshima na taadhima naomba nimnukuu yule Mzungu na kile alichokichangia jana ili kwa pamoja twende sawa. Alisema " IT IS SO OBVIOUS TO FIND AFRICANS OWNING EXPENSIVE MOBILE PHONES BUT YOU WILL STRUGGLE TO FIND EVEN A SINGLE TOILET WITH WATER IN THEIR SURROUNDINGS " kwa tafsiri iliyo KUNTU ya lugha yetu adhimu ya Kiswahili alimaanisha " NI JAMBO LA KAWAIDA SANA KUKUTA WAAFRIKA WAKIWA NA SIMU ZA GHARAMA LAKINI UKAPATA SANA TABU KUKUTA HATA CHOO CHENYE MAJI SALAMA MAENEO WANAYOISHI ". Mwisho wa kunukuu.
Kwa watakaotaka KUTHIBITISHA hiki nawaomba ingieni katika Website ya BBC ile ya Kiingereza musikilize hicho Kipindi ( hiyo debate ) mumsikie huyo Mzungu na msiseme labda NIMETUNGA tu.
Karibuni katika KUJADILI hicho alichokisema huyo Mzungu japo Mimi NAKUBALIANA nae si tu kwa 100% bali 1,000,000%. Nitazidi kuwaheshimu na kuwapenda Wazungu hadi KIFO changu kwa uwezo wao tu wa KUFIKIRI, KUJIPANGA na KUONA MAMBO MAPEMA na kwa UPANA wake.
Nawasilisha.