BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Juzi nimekutana na X wangu ambae tumeachana miaka mitatu iliyopita baada ya kupata mtu wa kuishi nae. Jamaa anaeishi nae hana hela wala hajasoma ila mdada kasoma na ana mzigo wa kutosha. Dogo huwa anamind sana yule dada kuwasiliana na mimi. Ila juzi bwana nimekutana na dada tukaenda tukapiga game safi kabisa. Anasema jamaa anaboa sana utozi mwingi. Kweli mtalaka hatongozwi
Unajuwa mtu ulimvulia chupi bwana ukikutana nae kuna feeling unazipata unakumbukia zamani
Wanadawa kutoka kwa hamida ukileta fujo anakufinyia tu kidogo kwisha habari yako
Msimamo ni jambo la msingi sana kwenye situations za hivyo
Siku mnapiga kolabo tu,papuchi hizi hamna kanuni piga tu inavyotakiwa na ukiondoka. Ukija ambiwa kuna jamaa nae kamwaga yake pale utakua.piga kolabo na tozi then mnatoa bonge la mixerJuzi nimekutana na X wangu ambae tumeachana miaka mitatu iliyopita baada ya kupata mtu wa kuishi nae. Jamaa anaeishi nae hana hela wala hajasoma ila mdada kasoma na ana mzigo wa kutosha. Dogo huwa anamind sana yule dada kuwasiliana na mimi. Ila juzi bwana nimekutana na dada tukaenda tukapiga game safi kabisa. Anasema jamaa anaboa sana utozi mwingi. Kweli mtalaka hatongozwi
Bora wewe unaejielewa...Msimamo ni jambo la msingi sana kwenye situations za hivyo
wataandamana
Duh! yaani utafikiri kafanya na punda!! Haya huyu mtakatifu wenu, mpaka anakuja kupanulia domo lake humu mna mpya zawadi gani?