Nimeamini mchepuko sio dili

tatizo lenu nyie hawa wanawake mnawakuza sana....mie mke wangu hawezi kunijia juu. akija juu tuu namwambia mama isiwe tabu chukua chako sepa.
 
 
Tulia na mkeo mkuu.

Mbn ndio mwanamke ulomwona anakufaa mpaka ukagharamika kumpata???
 
Mm wa kwangu awezi kunipanda kiasi hiki uwa akinikuta namchepuko anasema "huyu ni wa hivo hivo" ila mwanzoni alikua akilia sna
 
Mm wa kwangu awezi kunipanda kiasi hiki uwa akinikuta namchepuko anasema "huyu ni wa hivo hivo" ila mwanzoni alikua akilia sna
HAPO JUA NA WEWE UNASAIDIWA SI BURE AKUACHE HIVI HIVI LABDA NA YEYE ANA MPANGO WA KANDO
 
Ananijua vizuri hawezi kufanya hivyo na endapo ikajitokeza ntamtimua na ngumi juu.
 
Wewe ni m.pu.mbav.u, sio tu kwa kuruhusu mkeo ashike simu yako bali kuhangaika na wanawake wengine wakati umeoa! Huyo mke wako uliozeshwa bila ridhaa yako?
Huna akili.
 
wife anatikisa kiberiti tu hapo,we mwambie simu nilimpa rafiki yangu akawa anawasiliana na girl friend wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…