POLE MKUU ILA INAVYOONEKANA UTAFANYA JUU CHINI UMGEGEDE
ILA UMENENA VEMA UNAKUTA MTU ANA MKE AU MUME NA BADO ANAWEKA MAZOEA YA KARIBU NA MTU WA JINSIA TOFAUTI HII SIO SAWA[/
mkuu sidhani kama nitafanya hivo maanda nimeweka ndoa kwenye edge sana,wacha nibaki NJIA KUU
We koma tu ila sisi bado mkuuNiende moja kwa moja kwenye mada, Jamani hii tabia ya sisi wanaume au hata wanaweke walio olewa kuwa na mazoea na jinsia tofauti na mwishowe kupelekea kugegedana sio dili kabisa.
Hii imetokea kwangu kabisa over the weekend zimefumwa sms za kunyegeshana na mtoto bado hajaliwa ila wife kaja juuhadi kupelekea ndoa kuwa mashakani. Nimekoma Wazee
Sijui kiingereza!ITS ALWAYS GREENER ON OTHER SIDE
huu ujasiri wa jf ni kibokoAcha uoga bana mwanaume wewe!!!
Mwanamke mmoja ni mama tu
Hili wazo usijelipa nafasi tena katika fahamu zako.NILITAMANI NIMRUHUSU NAE ACHEPUKE MAANA 100% NAKULA MZIGO MWENYEWE
[emoji23] [emoji23] hivi wewe chumvi unajua we mkaleeeAcha uoga bana mwanaume wewe!!!
Mwanamke mmoja ni mama tu